Nina mashaka na wewe yaani muda wote huo we upo na mademu tu huna hata mshikaji wako wa kiumeni?
Mala mwanamke huyu kutoka home upo na wanawake eeee
Nina mashaka na tabia zako

Ila sitafuti kibarua Kama udhaniavyo. Nilipanga safu nzuri ya mipango na Mikakati. Kwa Sasa Nina vijana watano nimewaajiri. Na nimepanga self container. Kwa ujumla nimejipanga na mipango imepangika.