Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,704
- Thread starter
-
- #41
Zaidi ya ujinga sidhani Kama Kuna sababu nyingine.Mwengine walipotezana muda tu alipoenda kusoma Australia. Mwengine haieleweki alikua wapi. Walipigana kwa lipi hasa
Hapana.Mi nina wasiwasi na wewe Micky rafiki zako wote ni KE
Uhuni upi Mkuu?Ndo uache uhuni
Mkuu huo muda wa kumnyooshea maelezo sikuwa nao. Labda nilichokosea nikumjumuisha wakati huko niendako alikuwepo Liz ambaye ndiye nilimpa VIP INVITATION.Mi aibu hiyo sina. Huyo alokua Australia alitegemea kua wewe upo upo tu unasubiri mkutane kwa bahati mbaya? Na huyo mwengine mbona hukumnyooshea maelezo
Ndio maana tuna wasomi wasiojielewa ,yaani huyu tunamtegemea km taifa,lakini angalia kilichomjaa kichwani ni upuuzi tu,na wengi wa wao ndio wako hivyoHawa ndio graduates wetu, halafu wanalia hawaajiriki! badala ya kufikiria what the future holds for you, upo kwenye porojo that do not match your academic qualifications
Habari Wakuu.
.
Alinipiga mabusu mazito watu wakitizama video bila kupakua(upload).
Michaelray.
Wajinga tu haoMwengine walipotezana muda tu alipoenda kusoma Australia. Mwengine haieleweki alikua wapi. Walipigana kwa lipi hasa
salama kakaMkuu jenerali mangi salama?
Mtu kuwa graduate haimaanishi ni kiumbe wa ajabu asiyepaswa kufurahia ama kupatwa na matukio wayapatayo binadamu wengine wa kawaida. Don't take life too seriously, you will NEVER get out of it alive.Hawa ndio graduates wetu, halafu wanalia hawaajiriki! badala ya kufikiria what the future holds for you, upo kwenye porojo that do not match your academic qualifications
Balaa sanaZaidi ya ujinga sidhani Kama Kuna sababu nyingine.
Asinath ni mtoto wa Osyterbay. No mpenz wangu pia. Yeye amehitimu Chuo Cha IFM na Mahafali yao yalikuwa Ijumaa.
Sikumtaarifu Asinath kutokana na kuwa alikuwa Mpenzi wangu Mwingine anayeitwa Liz. Liz hakuja Mlimani City alisema anaenda Moja kwa Moja kwenye Ukumbi wa sherehe (sherehe yangu)ambapo ndio tulikuwa tunaelekea.