Nimeua mtu kwa mikono yangu (self defence)

mng'oa kucha

Senior Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
150
Reaction score
179
Nimetoka kibaruani kufanya kazi ngumu nimepewa ujira ambao sina uhakika kama unaendana na kazi niliyofanya, nimeweka kiasi honcho cha pesa kwenye mfuko wa mbele wa suruali (siyo jeans) wakati bado Nina msongo nisijue kiasi hicho cha nitakipangilia vipi akatokea mtu mmoja akaingiza mkono wake mfukoni Mwangu,, niliudaka ule mkono akajaribu kunishambulia nilifanikiwa kumzidi nguvu nilimpiga ngumi ya mdomo nikampasua mdomo wa chini alining'ang'ania huku akipiga makelele kwa lengo la kunikaba koromeo nilichukua jiwe kubwa na kumpiga utosini RIP sikuwa na muda wa kusubiri maana wale jamaa wana maswali wanaweza kukuuliza kwa nini hukumleta kituoni (angali mtu amekukaba koo)
 
Hakuna tatizo. Kama polisi wanapiga raia wanaoandamana kwa amani wakiona ni halali, kwa nini wewe usiue kibaka anayetaka kuangamiza familia yako?
 
Mng'oa kucha karudi jukwaani. Nakumbuka ile mission yako kwa bwana hakimu.

Sent using my Nokia Torch
 
Nimetoka kibaruani kufanya kazi ngumu nimepewa ujira ambao sina uhakika kama unaendana na kazi niliyofanya, nimeweka kiasi honcho cha pesa kwenye mfuko wa mbele wa suruali (siyo jeans) wakati bado Nina msongo nisijue kiasi hicho cha nitakipangilia vipi akatokea mtu mmoja akaingiza mkono wake mfukoni Mwangu,, niliudaka ule mkono akajaribu kunishambulia nilifanikiwa kumzidi nguvu nilimpiga ngumi ya mdomo nikampasua mdomo wa chini alining'ang'ania huku akipiga makelele kwa lengo la kunikaba koromeo nilichukua jiwe kubwa na kumpiga utosini RIP sikuwa na muda wa kusubiri maana wale jamaa wana maswali wanaweza kukuuliza kwa nini hukumleta kituoni (angali mtu amekukaba koo)
Kama ni Mwanachama wa CCM, nichukue fursa hii ADHIMU kukupongeza sana kwa kazi iliyotukuka. Songa mbele zaidi uwa wengine kadri iwezekanavyo.
 
Nimetoka kibaruani kufanya kazi ngumu nimepewa ujira ambao sina uhakika kama unaendana na kazi niliyofanya, nimeweka kiasi honcho cha pesa kwenye mfuko wa mbele wa suruali (siyo jeans) wakati bado Nina msongo nisijue kiasi hicho cha nitakipangilia vipi akatokea mtu mmoja akaingiza mkono wake mfukoni Mwangu,, niliudaka ule mkono akajaribu kunishambulia nilifanikiwa kumzidi nguvu nilimpiga ngumi ya mdomo nikampasua mdomo wa chini alining'ang'ania huku akipiga makelele kwa lengo la kunikaba koromeo nilichukua jiwe kubwa na kumpiga utosini RIP sikuwa na muda wa kusubiri maana wale jamaa wana maswali wanaweza kukuuliza kwa nini hukumleta kituoni (angali mtu amekukaba koo)
Tuwasiliane mkuu, kuna kazi maalum ya kufanya haraka sana, tutume ujumbe kwa watawala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom