Kwangu zipo za watu bikini, kanga make up set nguo vifaa vya ofisini, ila ni wastaarabu kila mtu anaheshimu za mwenzake na huwa nakuwa makini kusimamia fair play. Mimi nikienda kwao hata kalamu siachi kumbe ss hatujui kumark territory.
Hahahaha! Sahivi huachi kitu na ikibidi unaondoka na zake lol.hahaha acha nipite nilishavuka stage hyo