Kwani ulikuwa unacheza mieleka mpaka ukavua bracelet? Tehe tehe.Kwani vipi?? Eeeh....kwahiyo unataka nikikuja next time nijibebeshe tena kila kitu. Wat if sijatoka home nimepata tu mzuka nataka ni pop in one tym??
Kwa taarifa yako tunaendelea kuacha mpaka bik..ni nakuambia.
Tena umenikumbusha hereni zanggu zilizopo huko moja imepotea kwahiyo leo ntakuja na another one pair ziwe 2kama kawa halafu bracelet yangu unikumbushe niondoke nayo kesho coz jumatatu nataka niivae.
Mjumbe hauwawi evelyn saltHata mi naona kweli umetumwa, tena umetumwa na wasojua mapenzi.....!!!
Kwani ulikuwa unacheza mieleka mpaka ukavua bracelet? Tehe tehe.
Hahahaha! Kuna mieleka mingine shurti bracelet iwekwe kando lol.Sikuvua ila ni ile niliyoihamishia huko pamoja na khanga, hereni, lotion, lipstick et el...
By the way ...mbona mieleka inachezeka tu haina haja ya kuvua bracelet .....hahahaaaaa
jamani napita tu,hivi mmenionea wapi mzungumndali?
Hahahaha! Kuna mieleka mingine shurti bracelet iwekwe kando lol.