Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,801
Habar waungwana, aisee nimemtumia MTU kimakosa elfu ishirini, najaribu kuwapigia TIGO customer care kwa NAMBA hizi, 100 na 0713800800, cha ajabu wameweka maelekezo tu ya computer na ukiyafuata hayo maelekezo bado hapokei simu mtu wa customer care zaidi ya kujibiwa na computer, wanakuambia bonyeza Namba tatu kwa Huduma ya TIGO pesa, ukibonyeza bado hapokei customer care, sasa tangu SAA tano hadi muda huu hata Huyo MTU nilietuma hiyo senti kimakosa si kishaitoa na saizi anakula Mbuzi Choma au wana Namba nyingine tofauti na hizo.
Wenzao M-pesa mbona wapo fasta Sana costumer care yao. tigo int.
Wenzao M-pesa mbona wapo fasta Sana costumer care yao. tigo int.