Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

UNGETUMA MBINGUNI
 
Malalamiko fc, ongezeni na malalamiko ya jana magoli yenu kukataliwa.
 
Jamaa mbona hakutupa majibu?Utopolo wanateseka na wanaugua uwendawazimu kwa kasi kubwa sana.Vitanda viongezwe Mirembe.
 
Mnyama anaongoza ligi vyura wanahangaika.

Pole mtani ishi ukijua siku zote mpira wa miguu una matokeo matatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…