Nimetoroka mwenzenu

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,804
Reaction score
1,425
Habari zenu,
leo ni wedding anniversary yangu na nimetoroka Ikulu kwa Obama kuja kuwasalimu tuu
This is the gift I prepare for my hubby nzuri au mbaya? ur comments pls
nimewamiss na bado nawapenda japo najua wengine wananichukia na kuniponda.
Sakapal
na

bye narudi mjengoni now.
 
oh... inamtosha mshikaji au unipe niijaribu kwanza...
 
Me nimeipenda hiyo yakijivu sakapal..... Sijui nami nimtafutie yule jamaa.
Nimesahau aliniambia havaagi ili ikue.....wanaokuchukia watage yai kama la mbuni tuwaone!!!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Zawadi ni nzuli, na itampa furaha na hamasa mhusika.
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!... Chezeya JF Weye!!!! Mzima lakini sakapal?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…