Nimetongozwa na mwanamke mzuri sana

Ukiona vihadithi vya samaki kutaka kumvua mvuvi basi jua kwamba giza limezidi hivyo mapambazuko yanakaribia.
 
Aliekuwa rafiki yangu wa muda mrefu sasa toka juzi ameanza kunitumia SMS za kuniita mpenzi mara baby nikawa namvungia leo amenifungukia kuwa ananipenda nikamwambia kwanini anadai nimsikilize hisia zake nikamwambia unadhani tutaendana? Ni pisi kali akajibu kwanini, nikamwambia wewe ni mwanamke mzuri sana bila mimi kuwa na hela tutashindwana tu akajibu kanipenda bila pesa.

Wakuu nimjibuje?
Wanawake wa design hii ni wachache sana siku hizi
 
Aliekuwa rafiki yangu wa muda mrefu sasa toka juzi ameanza kunitumia SMS za kuniita mpenzi mara baby nikawa namvungia leo amenifungukia kuwa ananipenda nikamwambia kwanini anadai nimsikilize hisia zake nikamwambia unadhani tutaendana? Ni pisi kali akajibu kwanini, nikamwambia wewe ni mwanamke mzuri sana bila mimi kuwa na hela tutashindwana tu akajibu kanipenda bila pesa.

Wakuu nimjibuje?
Mwambie akupe 0712 alafu ulete mrejesho hapa
 
Uzi haueleweki kama hii picha
FB_IMG_16357685162739964.jpg
 
Pisi kali na Hana pesa 😂😂😂 . You can’t keep her she is just finding a resting place . Chapa plan for plan b kuachika .
 
Aliekuwa rafiki yangu wa muda mrefu sasa toka juzi ameanza kunitumia SMS za kuniita mpenzi mara baby nikawa namvungia leo amenifungukia kuwa ananipenda nikamwambia kwanini anadai nimsikilize hisia zake nikamwambia unadhani tutaendana? Ni pisi kali akajibu kwanini, nikamwambia wewe ni mwanamke mzuri sana bila mimi kuwa na hela tutashindwana tu akajibu kanipenda bila pesa.

Wakuu nimjibuje?
Hii togwa.
 
Screenshot_20211205-152853.png

Ana mgongo ka wa a **** ? Kama hana mgongo ka wa a **** sio mzuri huyo.
 
Back
Top Bottom