Nimetokea Kuvutiwa sana na 'Mabodigadi' wa 'Mwamba' kutoka 'Ubeleshini' japo ni Mtanzania Mwenzetu

Ila najiuliza kwann msaada wa Lisu ifanyowe fujo ndani ya jimbo la mwenyekiti wa chama?

No nani yupo nyuma ya hawa wamachame wenzangu ambao wanasema uongo hadi sura zinaonyesha wakiwa wanaongea.

Sentensi yako ya Kwanza haijaeleweka Mkuu na ina 'Ukakasi' na 'Kutuchanganya' pia. Hebu ipitie 'Kiumakini' na ukiweza 'ihariri' ili ueleweke vyema.
 
Naunga mkono Mzee Gentamycine, ila najiuliza wako full equipped kiasi kwamba likitokea shambulio kama lile wataweza kukabiliana nalo bila athari kubwa?
 
Ila najiuliza kwann msaada wa Lisu ifanyowe fujo ndani ya jimbo la mwenyekiti wa chama?

No nani yupo nyuma ya hawa wamachame wenzangu ambao wanasema uongo hadi sura zinaonyesha wakiwa wanaongea.
Hicho Ni kiashiria tu kwamba amechokwa
Zamani lisingewezekana hilo
 
Wako vizuri sana, wana Pumzi, hawachoki, siyo wanene, wanajiamini, wako makini hasa katika kuangalia 'angles' na wamejidhatiti kweli kweli tu.

Na wewe ni wakati wako sasa wa kujiweka fit ili ukawe pembeni ya Mgombea wako. Mimi kitambo namlinda Mgombea wangu na Rais wetu Mtarajiwa wa JMT Mheshimiwa Hashim Rungwe Spunda.

Kuanzia Novemba, tutagawa magunia ya mchele na kilo za nyama kwenye kila Kaya Nchini. Ni mwendo wa kushiba tu.
 
Sentensi yako ya Kwanza haijaeleweka Mkuu na ina 'Ukakasi' na 'Kutuchanganya' pia. Hebu ipitie 'Kiumakini' na ukiweza 'ihariri' ili ueleweke vyema.
Anasema ivii ameshindwa kuchangia uzi wako anajiuliza maswali kwanini msafara wa Lisu ufanyiwe fujoo?
 
Naunga mkono Mzee Gentamycine, ila najiuliza wako full equipped kiasi kwamba likitokea shambulio kama lile wataweza kukabiliana nalo bila athari kubwa?

Mimi jibu lako juu ya hili ninalo ila kwa sasa naomba nikae ( nibaki ) nalo tu Moyoni Mkuu nisije nikalitoa hapa kisha nikawaudhi / nikawafurahisha.
 
Back
Top Bottom