muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,599
hebu acha wivu bwana na wewe, akhaaa! mapenzi kiti cha daladala
hahahahahah Uwiiiiiiiii HII POST IMEKUAJE SIKUIONA UWIII
Ni kweli sasa hivi amekikalia paw, najua tukifika Mikese anashuka na mzee wa shoka nakikalia sasa, ehee nikupe kile ambacho hukipati kutoka kwa mzee paw!! Halafu PM yangu umeipenda kweli hadi unakenua meno tu!
We unampenda nani zaidiii!!!???

Gunia moja la ubuyu unauza shilingi ngapi .Niambie bei yake basi muuza ubuyu
tatizo paw ni dereva babu weeh, unajua kuendesha forklift wewe?
utajiju kijiko kimeingia club hehehe
View attachment 160879
Nauza kiduchu tu wa juice, siwezi uza wote! Na ubuyu wangu ni wa pemba ati!
Mimi nahitaji gunia moja
Pendaneni sasa mbona mwachelewaaa
Dinazarde kila nikiona ID yako humu najikuta nafurahi naburudika kwa kweli na kusahau shida zangu.Nahisi dina utakuwa unakitu special maalumu kwa ajili yangu tu.we fikiria kila nikiona ID yako nafurahi sasa itokee siku tukutane live sijui nipata mafuraha mengi Kiasi Gani. Naomba Basi Jina La Akaunti Yako Ya Facebook Au Uniruhusu Nikutumie PM angalau moja tu kwa siku na uwe unajibu Nahitaji.NAKUAHIDI UKINIRUHUSU PM au FB tutaongea mambo ya MAANA TU .NAKUOMBA UNIRUHUSU My Best Friend Dinazarde Nawasilisha.
hajjahaajh KANTANGAZE
anatujuzwa wakati mambo hayaendi mbona wakati yanaenda hatukujuzwa
Aisee..avatar yako tu inaniachaga hoi.
ni avatar tu sio mimi huyo............