Nimetoa rushwa leo kwa traffic

Mi ninavyoichukia Rushwa, itungwe sheria ya kuua ukipatikana unapractice rushwa
Mimi ninavyochukia mauaji ,yaani naomba mungu aamue kuwa mtu akiuawa aende peponi na muuaji motoni,kwa jinsi ninavyowajua binadamu walivyo na choyo hatouliwa au kuuawa mtu!
 

Kwa hiyo ulipotoa ulifurahi eehe.
 
Watu kama nyie mnaojisifia kutoa/kupokea rushwa mnafaa kupigwa risasi hadharani ili iwe fundisho kwa jamii ya kitanzania. Tena risasi za kukuangamiza unatakiwa kununua mwenyewe. Tumechoka sasa na hii tabia ya kutoa rushwa.

Hii ndio hulka yetu Waswahili,kukimbila hatua kali bila kuwa na mtizamo wa kina.
Leo ukizungumza ushoga watu wata react as if ushoga haupo hapa nchini wakati mashoga wanajulukana mpaka kwa majina.
Tutizame mambo kwa mtizamo halisi!!!
 

Bado tuna safari ndefu ili tufikie mabadiliko ya kweli. Kwa mtindo huo wee unafikiri ccm itang'oka hivi karibuni????!!! Wee unaejiita msomi unatoa rushwa tena unajisifia na kuutangazia umma!!!! Je wale wasio na elimu ama wenye elimu ndogo, ambao ndio wapigaji kura wakubwa utawaeleza nini kuhusu rushwa???!

Nchi hii ina waseng wengi....unajisifia kwa rushwa? Miracles will never end

Mods siku hizi mnaruhusu matusi?????????!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…