Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
- Thread starter
-
- #141
Maty 5:27-28
Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
💃💃💃 Nikukute sasa
KakaMkuu mbona wengine tumevusha seva lakini fainali haichezwi? Tupe mbinu za kiintelijensia...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]S unaemjua wewe jina la nyumban si M labda ndio huyo huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]M acha zako kwenye nyuzi kama hizi huwezi kumkuta mama la mama wangari mathaai wew sijui umefuata nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaanzaje kunifanannisha na business woman.
Business guru? Mimi level zangu mmu na chit chat
Ndo huyooo
Umeniangalia wapi eti jamani!Unataka kuniambia nishazini na
Sakayo ??? Nimemwangalia kwa kumtamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na aziniye hana akili kabisaa!!Maty 5:27-28
Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Umeniangalia wapi eti jamani!
Wewe sio wa kutamani maandishi kabisaa
Hujawahi kufumba macho mdogo wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha eti business guru...unaujinga mwingii[emoji1787][emoji1787],
Ngoja nimtafute,nahitaji business partner
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mi sina utani na huyo mtu.Unataka kuniambia nishazini na
Sakayo ??? Nimemwangalia kwa kumtamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio wa kutamani maandishi kabisaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Hapo sasa unanipandisha presha mdogo wangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nikifumba jua ninaisikilizia [emoji28][emoji28][emoji28] na mguno juu
Tusalimiane basi mdogo wangu, mekuham!!Kaka
Nakusalimia tuu mimi jamani