mkuu wenye id zaidi ya nne ni wale wa kutukanana jukwaa la siasa au wametendwa kule mmu,kama we hata ukitukanwa unapotezea wala ban haikugusiBan sioni ina impact gani humu maana kuna watu wana I'd zaid ya 4 humu,,! Wanapeta tu na comments ..
BTW Hongera kwa nidhamu.
hongera, na mafanikio mengine tupe hapa.....
thanks mkuu
mkuu wenye id zaidi ya nne ni wale wa kutukanana jukwaa la siasa au wametendwa kule mmu,kama we hata ukitukanwa unapotezea wala ban haikugusi
Usipotukana kule jukwaa la siasa una moyo wa ajabu sana, Kuna misukule kule, kuna watu wanatumwa, kuna wengine wanapost ujinga kwa malipo halali ya TZS 7000/=
yapo mengi tu ukurasa utajaa bure
Usipotukana kule jukwaa la siasa una moyo wa ajabu sana, Kuna misukule kule, kuna watu wanatumwa, kuna wengine wanapost ujinga kwa malipo halali ya TZS 7000/=