Nimetimiza ahadi, RIP kadi ya CHADEMA

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286
Acha kutafuta umaarufu hakuna anayekujua wewe mbulula.
 
sasa mtu mmoja kuwa id's tano ndio nini? au unataka kujicoment mwenyewe?
 

Ungefanya cha maana sana na ningekuona wewe ni shujaa kama ungejimiminia pipa la petrol na ukajipiga kiberiti wewe mwenyewe.
Hizo karatasi kila mtu anazo
 
unachoma moja,mamia wanajiunga cdm kuendeleza vita ya ukombozi!!!! kafie mbele na hizo njaa zako!!!!
 

mwaka huu masalia mtakufa kwa vihoro,,chezea cdm weye!!!?????
hivi act na ccm ni mtu na mkewe????
 
Chama cha deesi na mavuno (chadema) kama utaki pigana
 
mwaka huu masalia mtakufa kwa vihoro,,chezea cdm weye!!!?????
hivi act na ccm ni mtu na mkewe????

Mwambie mbulutula aende kwao, mnatafutaga umaarufu. Usiokuwa wenu, peleka matatizo tusioyahitaji. Bunge la katiba likiendelea wazee chchem wapenda kuonekana chali. Ndani kwako unashida unangangania kuwadhibiti wenzio kwamsimamo wa kuladhimishwa. Aende achome na magwanda basi mbn hata kadi anachoma kwa maonyesho. Mwisho wa Wabaya AIBU waone bu.ge la katiba
 

Kwa hiyo hoja yako ni kutotumia gari la serikali tu! Unatakiwa kupimwa siyo mzima.............!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…