Nimethibitisha mademu wa Kenya wanatukubali sana wabongo

Nimethibitisha mademu wa Kenya wanatukubali sana wabongo

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,442
IMG_20180704_173237_608.jpg
IMG_20180704_173237_608.jpg
Kenya ni jamii ngumu sana kwenda nayo sawia..wana matusi, ubabe kisela mavi, kejeli na ujuaji. Soon baada ya kuingia kwenye forum yao tuliyakoga sana matusi..kama vile.. meffi wewe, chieth, ngombe ya magufuli, acha upussy e.t.c Ahahaha! but nilipata bahati ya kuwa na fan base ya wakenya waliokuwa wanaenjoy maandishi, uchangamfu, uungwana, upendo na ukarimu wangu wa kitanzania.

Lingine muhimu Watanzania inabidi tutembee kifua mbele East Africa...Wakenya wanatufeel sana wanatuona kama sisi wote watanzania ni macelebrity flani hivi wenye rhythm na vibe ya kistar. Ukiangalia hapo juu kwenye screenshot yangu kuna message moja ya demu flani wa Kenya alikuwa ananitongoza yaani ananiambia ananikubali na kunifeel sana as yeye anaona Watanzania wengi ni watu wakarimu na wapole sana pia anafeel na kufurahia sana kiswahili cha Tanzania na vile watanzania tunaandika Swahili sanifu na anataka ajifunze zaidi maana anaandika "Hekaya" za kiingereza kama part time job hivyo anataka afikie soko kubwa zaidi kwa kuanza kuandika na kwa kiswahili hivyo akanitumia hadi Hekaya yake aliyoandika kwa ya ngeli nimtafsirie kwa kiswahili sanifu cha bongo. Loh! Hapa nilipo kijasho kinantoka kutafsiri ngeli ngumu ya kinaa kutoka kwa mbebi wa Nairobi.

Na anataka kuvisit Tanzania hivi karibuni special Kwa ajili yangu hili anisusie bumunda lake la sukari nineng'eneke nalo....! Nataja nimpe maufundi ya kibongo...hapa nawaza tu kimoyomoyo akija kwanza..taizi la kwanza nadeki papuchi kwa ulimi kwanza ili kumvuruga ufahamu then nampa mikito ya punda non stop hadi afike climax ili ikifika asubuhi alipie na lodge kama wale makahaba wa pale Emali Kenya wao ukiwatomb.a fresh asubuhi wanakurudishia nusu ya ada ya malipo ya ngono uliyolipia usiku. Nani anasema Kenya hakuna ukarimu!? Uungwana na ukarimu..Ahahaha!

Nimeambatanisha na screenshot ya fan wangu akininadi na inbox kuna text imeningia ya kutongozwa na machick wa Kenya... Vipi hii ilitokea kwangu au hata kwako wewe mswahili mwenzangu? It feels kama imekuwa fashion kuchukua mademu nje ya borders siku hizi..Mond na zari, AY na mnyalu, kiba na mmombasa, e.t.c

Siendi Zimbabwe, naenda Kenya.

Nakei Nairobi.
 
Back
Top Bottom