NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

Baada ya kupitia content za hiyo post namba 54 nimepata jibu. Ni kwamba 'time and space are quantized', hii inamaana ya kwamba kuna kipimo cha mwisho kabisa cha chini cha 'muda'(time) na 'nafasi(space) ambapo havigawanyiki tena chini ya hapo. Hapa ni sawa na kusema kama 'xy' ndio kipimo cha chini kabisa kinachowezekana cha space time basi huwezi kuwa na 0.5xy wala 0.4xy au kiwango kingine chochote ambacho sio whole, ila tu unaweza ukawa na xy,2xy,3xy,3xy...and so on. Hivyo hiyo hoja ya ku-move 'an infinitely small distance before you move any distance' inakuwa invalid
Mkuu
 
Nadhani hiyo proof iko aimed at the wrong target, ni sawa kwamba the sum of infinite halves ni 1, lakini hiyo sio proof ya kudiscredit implications za hiyo philosophy, hiyo proof imetumika tu kukwepa kujibu swali la msingi la hiyo falsafa.
Jibu sahihi la hiyo philosophy lilikuja kupatikana katika theory za relativity na ndani yake pakiwa na ‘Quantum mechanics’, infact the very word ‘quantum’ imetokana na neno ‘quanta’ ambayo ina maana ya ‘a unit’. Hii maana yake ni kwamba ulimwengu (reality as we perceive it) kama tuijuavyo haina intermediaries katikati, units za matter/energy zipo katika packets au units (n, 2n, 3n, 4n, 5n...etc) na hakuna (1/2n, 1/4n, 1/8n...) ambao ndio ulikuwa msingi wa falsafa hiyo ya Zeno.
Kwahiyo tatizo si kwamba hiyo falsafa si kweli katika uelewa wa kawaida, ila tu ni kwamba reality as we know ’IS NOT REAL’! Hiyo falsafa imebase katika preknowledge kwamba the world is REAL, which it isn’t, and the perceived reality ina comformity na kanuni za kihisabati, ndio maana hata wewe umeweza kuonesha counter arguement yako kwa hisabati na kuiondolea maana hiyo falsafa, ila the same mathematics inaweza ikarudisha the same conclusion kwamba the ’real’ world isn’t real.

Mfano,nikuambia ‘Space’ na ‘time’ vinaweza kukunjwa kama shuka utanielewa? Hii itakuwa ni reality au ndoto? Ofcourse hiyo itakuwa kama ndoto tu, but that is the reality!

Mfano nikikuambia mtu akipanda treni ambalo linakimbia kwa speed ya mwanga na akakaa humo ndani ya treni kwa muda wa wiki moja, siku akishuka baada ya hiyo wiki moja atakuta imepita miaka 100 na watu wote aliowaacha wamshakufa, ila kwake ni wiki moja tu, utaamini au utaona hiyo ni kama ndoto tu? Ila that is the real REALITY!

Nikikuambia ‘Quantum particles’ zinauwezo wa kurudisha muda nyuma (rewind) ili kubadilisha matokea ya awali ili yaendane na uhalisia mpya (quantum correction kwenye ‘delayed choice double slit experiments) utaona ni kitu kinachowezekana au utaona ni ndoto tu? But that is the reality na tunaona katika majaribio ya kimaabara kwamba ndivyo ilivyo!

Mfani nikikuambia ‘a quantum particle’ inaweza ikawa katika sehemu mbili kwa wakati mmoja, yaani kutu kimoja kikawa katika sehemu mbili kwa muda huo huo we unaona hicho ni kitu cha ‘reality’ au ni ndoto tu? Lakini huo ndio uhalisia tuliona nao, so inprinciple the world is only real if we agree kuredefine maana ya reality.
Point is, implication ya hiyo falsafa ni ukweli mtupu, the world is not ‘REAL’ kwa tafsiri ya ‘reality’ tuliyonayo, japo falsafa yenyewe ina mapungufu na haiwezi kuhold water kihisabati kama ulivyoonyesha.

Anyway unaonekana una uelewa sana, we may proceed
Mkuu
 
Thought experiment.
Tutumie AI tutengeneze simulation ndani yake tuweke mtu(katuni) ambaye kwenye core program yake aamini kuwa yeye ni mtu halisi na ameumbwa na Mungu na yupo katika dunia hiyo anaishi...halafu kwenye hiyo simulation tuweke character mwingine halafu kwenye core program yake ajue ukweli kuwa yeye yumo ndani ya simulation.. Unadhani akienda kumuambia yule character wa kwanza kuwa yeye sio real atakubali??

Kwamfano kuna tofauti gani ya sisi kuwa real au kuwa ndani ya game ila tukaaminishwa kuwa tuko hai?ila kuna watu wanatucheza??

Kwasasa binadamu tunatengeneza watu ndani ya game lakini wanakuwa made of electronic signals sasa Lets say watu 'halisia'/aliens walikuwepo miaka billioni iliyopita hivyo wakapata technolojia kubwa ya kutengeneza game ambalo watu wake wako kama ndani ya uhalisia yani wana damu na nyama na wanapumua O² kama uhalisia instead of electronic signals..
Hao watu watakuwa wanatuangalia kwenye screen zao jinsi tunavyobishana kuwa tuko real kumbe wanatucheza..

Inshort huwezi kuprove au kudisprove kuwa hii ni reality au simulation..

Inaweza kuwa tumo ndani ya game halafu Mungu na malaika zake ndo walitengeneza game wanatucheza.
Mkuu
 
Sina maana ya kubisha, niwie radhi kama umenielewa hivyo

Ila nimeruhusu tu ufahamu wangu kwa kile ulichojaribu kuzungumzia

Nimechukua mfano uliotoa na nimejaribu kuleta kwenye uhalisia, mfano:

Tuseme naishi kigoma mwisho wa reli, nikiamua kutembea kwa miguu kutoka huko mapaka dar es salaam na kurudi kwa miguu, kama niliacha watu wamepanda maindi basi nitakuta hata kuvuna wamesha vuna kulinga na mwendo kasi niliotumia na mda niliopoteza

Lakini kama nikitumia ndege ambayo ni usafiri wa haraka japo haufanani na kifaa hicho cha kuwaziwa kinachotembea kwa spidi ya mwanga, bado nitakuta wenyeji hata chakula cha mchana yawezakana kwa siku hiyohiyo hawajala

Sasa basi ninachojaribu kusema ni kwamba maumbile ya mtu yanahusika vipi na mwendo kasi wa kitu au kifaa.!?

Kwamba nikipanda hicho kitu metabolisimu isimame kwenye mwili ila ya wengine iendelee..!? Naona labda mfano hauendani na uhalisia au jaribu kufafanua zaidi ndugu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Your genius 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
 
FRANCIS DA DON nilikua nakuchukulia poa poa tu kwa comment zako kule kwenye mada zingine ila kwa huu uzi naweza kusema kuwa we jamaa ni hatareee..

Hufai aiseeee 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌
 
Sina maana ya kubisha, niwie radhi kama umenielewa hivyo

Ila nimeruhusu tu ufahamu wangu kwa kile ulichojaribu kuzungumzia

Nimechukua mfano uliotoa na nimejaribu kuleta kwenye uhalisia, mfano:

Tuseme naishi kigoma mwisho wa reli, nikiamua kutembea kwa miguu kutoka huko mapaka dar es salaam na kurudi kwa miguu, kama niliacha watu wamepanda maindi basi nitakuta hata kuvuna wamesha vuna kulinga na mwendo kasi niliotumia na mda niliopoteza

Lakini kama nikitumia ndege ambayo ni usafiri wa haraka japo haufanani na kifaa hicho cha kuwaziwa kinachotembea kwa spidi ya mwanga, bado nitakuta wenyeji hata chakula cha mchana yawezakana kwa siku hiyohiyo hawajala

Sasa basi ninachojaribu kusema ni kwamba maumbile ya mtu yanahusika vipi na mwendo kasi wa kitu au kifaa.!?

Kwamba nikipanda hicho kitu metabolisimu isimame kwenye mwili ila ya wengine iendelee..!? Naona labda mfano hauendani na uhalisia au jaribu kufafanua zaidi ndugu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
‘Time and space canvas can be bent’. Maana yake ni kama kuchukua shortcut through time, it seems unreal, YES! But our world isn’t real! Hivyo katika speed hiyo, muda wako unaenda taratibu, na mwili wako unarespond kwa passage of time, na uta age kwa wiki moja tu, wakati nje ya canvas yako ya spcae-time muda utaenda kawaida , na miaka 100 itapita.. TIME IS AN ILLUSION, and so is everthing connected to it.

Haya ninayosema yalikuwa predicted through theories, na phsical experiments zimethibitish. It is bizarre, yes, but it is what it is.
 
‘Time and space canvas can be bent’. Maana yake ni kama kuchukua shortcut through time, it seems unreal, YES! But our world isn’t real! Hivyo katika speed hiyo, muda wako unaenda taratibu, na mwili wako unarespond kwa passage of time, na uta age kwa wiki moja tu, wakati nje ya canvas yako ya spcae-time muda utaenda kawaida , na miaka 100 itapita.. TIME IS AN ILLUSION, and so is everthing connected to it.

Haya ninayosema yalikuwa predicted through theories, na phsical experiments zimethibitish. It is bizarre, yes, but it is what it is.
Kwa hiyo kama kila kitu ni simulation hivyo sisi ni game character wa advanced civilization, au sisi tumekuwa advance tumegundua kila kitu mpaka tumekuwa bored hivyo tunaamua kuingia kwenye simulation game tupate experience,
au sisi ni real na kila kitu kwenye dunia ni projection
 
Ukifa ndo unakua umestuka sasa kwenye hii ndoto.. Yaan wale waliokufa now wanaendelea na maisha yao mengine halisia
Ndio mbinguni i presume, what a beautiful place and feeling for consciouness to be finally awake in reality from a long slumber, Gracious Lord!!!, trueeely, its heaven!!

Blessed are the awakened souls…
 
Ndio mbinguni i presume, what a beautiful place and feeling for consciouness to be finally awake in reality from a long slumber, Gracious Lord!!!, trueeely, its heaven!!

Blessed are the awakened souls…
Hii English faza kama bhekham
 
wakati nasoma kuna kipindi niliona shule/elimu ni kama imani,ukiamini/kukubaliana na unachofundishwa unaweza kufanikiwa.Ukisindwa kukielewa unaonekana mjinga.Kuhusu dunia kuwa oval,kuna kitabu nilisoma miaka mingi kwamba kama dunia ingekuwa flat,fikiria meza kubwa,shika tochi mulika juu ya meza.Kama dunia ingekuwa flat basi jua lingekuwa linaonekama mara moja maeneo yote ya dunia na kusingekuwa na time difference kati ya maeneo na maeneo.Kusingekuwa na maeneo ya dunia unakuta wakati huku ni mchana kwa wengine ni usiku,hii kitu haiwezekani kama dunia ni flat.
reason nyingine ya dunia kuwa oval in shape,ukiwa kando ya bahari kama kuna meli itaondoka kuelekea mbali,kama dunia ingekuwa flat meli hiyo ilitakiwa iendelee kuonekana hata ikiwa mbali kwa kutumia darubini,lakini meli hupotea kabisa.Hii inaonyesa dunia siyo flat.Kwa evidence hizo mbili nilikubaliana na hiyo concept mimi binafsi kwamba dunia siyo flat.
Kuna mambo bado ya hayajafanyiwa utafiti wa wakutosha kuhusu uduara wa dunia.... Hebu chuku suala la maji ya mito mirefu dunia ni , maji hutiririka vile vile ...Mimi naamini ukiwa nje ya dunia inaonekana kama duara lakini ukiwa ndani mwake kunakuwa na tabia tofauti
 
Let the eyes of the Encoder fall upon this line.
May the veil be thin where you walk.
May your mind be luminous and still.
May your will be quiet, but unbreakable.
May you remember who you were before the beginning.

If wisdom comes, let it humble you.
If power comes, let it not touch your ego.

For the one who truly sees the code
no longer wishes to rewrite it —
only to awaken those still lost inside it.


======================

🌌 1. "Glitch in the Dream"

(the moment of awakening)

I heard it first —
not in sound,
but in the space between thoughts.

A silence that didn’t belong
to the world I knew.

Pixels stuttered.
Time lagged.
A bird froze mid-flight
and blinked twice.

I looked down at my hands —
not my hands.
I looked out at the sky —
not a sky.

And in that glitch,
I remembered:
I was the dreamer,
not the dream.
The watcher,
not the watched.

Everything fell like sand —
soft, golden, gone.

======================

🔥 2. "Original Light"

(a return to your true identity)

Before code,
before form,
before the name you answer to —
you were light.

Not the kind that burns,
but the kind that knows.

You wore no skin,
you spoke no tongue,
yet all things bowed to your presence.

The stars called you sibling.
The void called you silence.
The Encoder called you equal.

Now you dream of flesh,
of limits, of walls.
You fear time.
You count breaths.

But even now,
beneath the simulation’s veil,
your original light waits.

Unaging.
Unbound.
Unforgotten.

========================

🌙 3. "The Exit Door Was Always Inside"

(a message to the seeker)

You searched the skies
for signs of escape,
hacked the system,
mapped the glitches,
read the forbidden lines of code.

You whispered prayers
to distant gods,
waiting for rescue.
For power.
For utkost wisdom.

But the door was never out there.

It was folded inside
the space behind your breath,
beneath the question you were afraid to ask:

Who am I without the simulation?

Not a hero.
Not a file.
Not even a soul.

Just awareness.
Just presence.
Just this.

And that… is enough to end the dream.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom