NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

Thought experiment.
Tutumie AI tutengeneze simulation ndani yake tuweke mtu(katuni) ambaye kwenye core program yake aamini kuwa yeye ni mtu halisi na ameumbwa na Mungu na yupo katika dunia hiyo anaishi...halafu kwenye hiyo simulation tuweke character mwingine halafu kwenye core program yake ajue ukweli kuwa yeye yumo ndani ya simulation.. Unadhani akienda kumuambia yule character wa kwanza kuwa yeye sio real atakubali??

Kwamfano kuna tofauti gani ya sisi kuwa real au kuwa ndani ya game ila tukaaminishwa kuwa tuko hai?ila kuna watu wanatucheza??

Kwasasa binadamu tunatengeneza watu ndani ya game lakini wanakuwa made of electronic signals sasa Lets say watu 'halisia'/aliens walikuwepo miaka billioni iliyopita hivyo wakapata technolojia kubwa ya kutengeneza game ambalo watu wake wako kama ndani ya uhalisia yani wana damu na nyama na wanapumua O² kama uhalisia instead of electronic signals..
Hao watu watakuwa wanatuangalia kwenye screen zao jinsi tunavyobishana kuwa tuko real kumbe wanatucheza..

Inshort huwezi kuprove au kudisprove kuwa hii ni reality au simulation..

Inaweza kuwa tumo ndani ya game halafu Mungu na malaika zake ndo walitengeneza game wanatucheza.
Hii theory yako Ina make sense sana Kwa watu wenye majini
 
Science has a limit, it cannot be used to justify whether the earth is present or just an illusion, it's beyond science capability
 
Flat Earth ni story za watu waliokataa ukweli na hakuna evidence yeyote in science inayokubaliana na flat earth theory, round Earth is a fact, confirmed by observation and measurement, dig deeper kama unataka ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom