Nimetendwa jamani


yani umeongea yaliyokua akilini mwangu.azingatie huo ushauri.
 
Kalale kwanza, ukiamka urudi hapa, unaonekana hata kimaandish kua hujapumzika vema...
 
Nimekupim tuwasiliane acha kulazimisha penzi ukishaambiwa hutakiwi tu jua kuna mtu hapo
 

polee
pili punguza kuokota okota wakiume..tafuta wanaume
tatu kama haya yote ((meet up nd dating)) yametokea in one year ..mytake..its a crush u will get ova it
 

Fanya kazi kuanza upya si ujinga tulia panga plann usikulupuke utatendwa tena kuwa na muda wa kupanga malengo yako wanaume wapo tu shukuru mungu umeona dalilil zake mapema sana.
 
dawa ya moto ni moto.shusha bendera pandisha nyngne.mana utakufa kwa presha bado mdgo afu cku hakuna mapenzi ni ulafi tu
 
na mm nimetoka kutendwa siku si nyingi,,kama vipi tuungane tu,,#team mahaba niue
 

pole sana kutendwa sikia kwamwenzio ila yasikukute .

kuna kijimsemo kinasema ukiona umetendwa jua kuna MTU kapendwa??

mapenzi sasa hivi ni kichwani tumia akili na sio kutumia roho/moyo?
 

pole mumy.. now yu know how much he loves yu eeh!
sasa tulia be glad kabadilisha namba..ushalia na kushare hum jamvin naamin imekupunguzia hasira kidogo..sasa kaza moyo take it as a lesson n life goes on. period!
 
Binti ukilia hujasolve tatizo kwa kumtumia rafiki yake utajua hatma yoko.

afu kwan huyo mwanaume anatatizo la kutojiamin hv hawez kuachana na mwanamke kiroho safi tu?? nadhan angekwambia ukwel kubadilisha no, sio sln

umeona eeh ni muoga anamapenz y kishule shule tuu.... asikuwazishe wala nini. songa mbele bint eeh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…