Mm ni mschana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kias ambacho ckuwah kuhis km naweza kuish bila yy bt yamenikuta,kuanzia valentine asubuh alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijin kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuuliZe rafik yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima cjalala naumia jaman hata nashindwa kufanya kaz
Nimepata kushuhudia baadhi ya wanawake wanaoshirikisha akili katika mapenzi, huwa hawababaishwi na porojo zetu za kiume
Mm ni mschana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kias ambacho ckuwah kuhis km naweza kuish bila yy bt yamenikuta,kuanzia valentine asubuh alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijin kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuuliZe rafik yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima cjalala naumia jaman hata nashindwa kufanya kaz
Ninamahusiano nae km four years na kinachoniumiza cjui kosa nn na kwann hajasema chochote labda nimemuuz
The feeling am having I can't stop crying I just know anymore
Ninamahusiano nae km four years na kinachoniumiza cjui kosa nn na kwann hajasema chochote labda nimemuuz
Mm ni mschana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kias ambacho ckuwah kuhis km naweza kuish bila yy bt yamenikuta,kuanzia valentine asubuh alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijin kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuuliZe rafik yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima cjalala naumia jaman hata nashindwa kufanya kaz
Yuko mbali mm niko mkoa mwingine na yy yuko mkoa mwingine
....nimelia usiku mzima cjalala naumia jaman hata nashindwa kufanya kaz
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi
Salula kwani huyo kama ndiye mwanaume wako wa kwanza? Mbona umesikitika sana, ulishamvulia nguo ya ndani?Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi