Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,262
- 6,514
- Thread starter
- #101
Nimesema natafiti sosholojia ya jiji la ArushaDah umefika shivaz na mrina wewe unatisha
Nimesema natafiti sosholojia ya jiji la ArushaDah umefika shivaz na mrina wewe unatisha
Wadada wana makalio mkubwa kama wale wa picnic baa mitaa ya ShivazHapo Matakoo bar
kama ulikuwa hauwajui waarusha, umekuja mjini lini toka koromije? ndo maana tunasema bakini hukohuko shinyanga mfuge ng'ombe.Umuofia kwenu wanajamvi.
Katika pilika zangu za maisha nimeingia jijini Arusha kwa Mara ya kwanza. Cha kushangaza mwenyeji wangu kanitembeza Sanawari, Mianzini, Kijenge, Sakina, Morombo na maeneo mengi tu na nikagundua kabila wanaoitwa Waarusha.
Nilikuwa sijui hii kitu kabisa kwa sababu Arusha ni mkoa wa Wamasai. Pia wachaga ndiyo wenye jiji hili tofauti nilivyokuwa najua ni la wamasai. Makabila mengine makubwa jijini ni Wairaq na Wapare. Ni wengi mno jijini. Wamasai ni wachache mno.
Hili nilikuwa sijui kabisa na utafiti wangu mdogo wa sosholojia ya Arusha mjini umenijuza mengi. Nitakuja na mambo mengine mapya bila kusahau ile mitaa ya vituko ya Shivaz na Mrina.
Mimi sio msukuma mkuukama ulikuwa hauwajui waarusha, umekuja mjini lini toka koromije? ndo maana tunasema bakini hukohuko shinyanga mfuge ng'ombe.
Nimeulizia nimeambiwa wanatahiriwa kwa kupelekwa jando wakiwa wakubwa kama ilivyo kwa mmeru na mmasai. Hadi miaka 13 na 18 ndiyo mtu hutahiriwa, tena nyumbani bila ganzi.Wachagga wameshikilia uchumi Wa Mwanza, Dar , Kilimanjaro na Arusha japo wanachukiwa na watu flani siwataji ila mnawajua.
Wameru wapo Arusha na wanajitahidi kimaendeleo.
Wa Arusha ni Wamasai wa Mjini, hawa wamesendelea kidogo japo huwa hawakatwi mkono sweta.
Asante.!Sawa, utatusaidia sana
mkuu nashuhudia baadhi ya maneno yako niliwahi kuishi na mmoja wa hawa waarusha kiukweli ilikuwa shida sana kumsoma na hakuwa mwaminifu kivile nakumbuka mwishowe aliniliza akasepa mazima.Waarusha siyo wamasai na wamasai siyo waarusha. Waarusha ni jamii ndogo inayoishi maeneo ya sanawari, loruvan, kisongo, kijenge, ngaramtoni, mukulat, duka mbovu, mateves na baadhi ya maeneo ya Lorkisalye wilaya ya monduli. Wanalima na kufuga na ukiwatizama wengi meno yao yameungua na kitabia ni wabishi na wanatamaa sana. Tofauti na wamasai ni kwamba hawa waarusha wanaaminika kwa uchawi umaojulikana kama Emoongo na wanaamini kwamba ukiwatendea kitu kibaya au kuwadhuluma wanapasua chungu na kuwadhuru familia yote kwa kifo cha moja baada ya mwingine na Mara nyingi mhusika mkuu anakufa wa mwisho. Siyo waaminifu sana kwa kufanya kazi nao.
Wamasai wao wanaishi maeneo ya wilaya za longido, simanjiro, ngorongoro na maeneo ya wilaya ya mwanga, handeni, mvomero, chalinze, kilosa na kutawanyika mpaka nchini Kenya county ya kajiado, uwasin ngishu, kaputyei na loitokitok. Ni jamii ya kifugaji kwa asilimia 100 na ni waaminifu sana ila wanawake na vijana ambao bado hawapitia jando(Llaiyok) hawapewi nafasi ya maamuzi mpaka watjibitishwe na viongozi wa mila wa rika(Llajijik) ambao wanajulikana kama Llaigwanak.
Rika zao zinashika hatamu kwa kuachiana(succession) kwa kutizama nguvu ya maamuzi kwa kuzingatia umri. Wakubwa wanawashauri wadogo na kamwe mdogo hawezi kubisha kitu akiambiwa na mkubwa na ikitokea hisia za kunyanyasika mdogo anakata rufaa kwenye vikao maalumu inayojulikana kama Engigwana ambapo kila upande unapata nafasi ya kujitetea na kusikilizwa bila upendeleo na mwishoni maamuzi yanatolewa. Kama mkubwa atakuwa amemtendea mdogo hila ataambiwa ila mdogo haambiwi moja kwa moja kuwa amekosewa na mkubwa Bali itategemea ni kitu gani anadai na kikao kitaamuru arudishiwe haki zake zote na kuamriwa kuwainua wazee kwa kuwanunulia kinywaji ili abarikiwe.
Hivyo ndivyo mambo yalivyo Kule kwa kifupi.
Nawasilisha
PamojaMkuu mimi ni maasai sio mwaarusha..kuna jamaa huko nyuma kafafanua vizuri.
Waarusha ni uzao wa maasai tu[hatuwakatai maana tunashare baadhi ya vitu na ni ndugu zetu].
Vipi Wanyamwezi na wasukuma wanaosilizana mbona sio kabila moja?Niwamasai tu tena hadi lugha wanasikilizana vizuri
Wachagga wameshikilia uchumi Wa Mwanza, Dar , Kilimanjaro na Arusha japo wanachukiwa na watu flani siwataji ila mnawajua.
Wameru wapo Arusha na wanajitahidi kimaendeleo.
Wa Arusha ni Wamasai wa Mjini, hawa wamesendelea kidogo japo huwa hawakatwi mkono sweta.
Asante.!
Katika historia Tanganyika then Tanzania hamna kabila linaloitwa Waarusha..,
Kwann..???
Fuatana nami...
Waarusha ni jamii inayotoka ndani ya Kabila la Wamaasai...,
Kama tujuavyo jamii za kifugaji hususani Wamaasai ni watu wanaishi kwa kuhamahama kwaajili ya kusaka malisho ya mifugo yao...,sasa wakati huo baadhi ya Wamaasai wali migrate kufika sehemu moja yenye vijilima vingi kwa Kimaasai inaitwa LEARUUSAH...,hili ni neno la Kimaasai maana yake sehemu yenye vijilima vingi...,kutokana na uhamiji mwingine toka nje ya jamii ya Kimaasai Yani Wachagga na Wapare kutoka mkoani K'njaro wakashindwa Ku pronounce vizuri hilo neno "LEARUUSAH" lenye asili ya Kimaasai waka pronounce "ARUSHA"...!!!
Kwa maana hiyo ile jamii ya Kimaasai iliyokuwa imehamia Arusha ikitafuta malisho ya mifugo yao wakajiita "WAARUSHA" na hii ukiangalia vizuri jiji la Arusha liko dominated na vijilima ndani yake.
Asante na karibu kwa maswali...
wewe huijui Arusha, Ngaramtoni, Sakina, Mbauda, Kwa Iddi, Matejoo, Chemchem , Oljoro huko wanakaa wa Arusha, uliza mwanamke aliye date nao, huwa wana mkono sweta na mostly wakati wa ku-duu wana "fodoa" naniliu lao.Mstari wa mwisho umedanganya big time. Wewe ni muongo uliekubuhu
Waarusha huwa hawataki waiter hovyo hujiita wamasai maana tabia zao duh.Mkuu mimi ni maasai sio mwaarusha..kuna jamaa huko nyuma kafafanua vizuri.
Waarusha ni uzao wa maasai tu[hatuwakatai maana tunashare baadhi ya vitu na ni ndugu zetu].
wewe huijui Arusha, Ngaramtoni, Sakina, Mbauda, Kwa Iddi, Matejoo, Chemchem , Oljoro huko wanakaa wa Arusha, uliza mwanamke aliye date nao, huwa wana mkono sweta na mostly wakati wa ku-duu wana "fodoa" naniliu lao.