BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,048
Wakuu bwana yesu asifiwe.
Kama heading inavyosoma wacha niende direct kwa topic. Jaman kuna wanawake wavumilivu sana kwenye mahusiano mnaosema wanawake hawa wamepotea hawapo nawapinga huyu shem wenu aisee sijui niseme nn, tunagombana sana tu ofcoz ni kawaida kwa wapendandao kugombana na kupatana.
Ni mwanamke kwel ambae kajitoa kuwa na mimi, sio kwasababu na kazi na pesa hapana, amekuwa msaada sana kwenye kushape my life. Kuna vitu ambavyo nimeanza kuacha mfano mademu, matumiz mabya ya pesa na Pombe. Ni mwanamke aliyeweka mapenzi mbele na sio pesa kama madem wengine. Akiomba pesa bhs jua kweli anashida na atakuambia anataka ya nini.
Ukipata demu anejielewa kwa zama hizi usije thubutu aende, nilishapata baht nyingi sana lakini hii ya sasa sifanyi makosa. Katika madem wote nloruka nao hyu ni special anakaa na ww anakueleza fanya hv. Mungu anisaidie nisije kumwacha. AMEN