Nimetembea na Wanawake wengi Lakin huyu kiboko Yao

Wakuu bwana yesu asifiwe.
Kama heading inavyosoma wacha niende direct kwa topic. Jaman kuna wanawake wavumilivu sana kwenye mahusiano mnaosema wanawake hawa wamepotea hawapo nawapinga huyu shem wenu aisee sijui niseme nn, tunagombana sana tu ofcoz ni kawaida kwa wapendandao kugombana na kupatana.

Ni mwanamke kwel ambae kajitoa kuwa na mimi, sio kwasababu na kazi na pesa hapana, amekuwa msaada sana kwenye kushape my life. Kuna vitu ambavyo nimeanza kuacha mfano mademu, matumiz mabya ya pesa na Pombe. Ni mwanamke aliyeweka mapenzi mbele na sio pesa kama madem wengine. Akiomba pesa bhs jua kweli anashida na atakuambia anataka ya nini.

Ukipata demu anejielewa kwa zama hizi usije thubutu aende, nilishapata baht nyingi sana lakini hii ya sasa sifanyi makosa. Katika madem wote nloruka nao hyu ni special anakaa na ww anakueleza fanya hv. Mungu anisaidie nisije kumwacha. AMEN
NIPE NAMBA YAKE NIMPE MWONGOZO.
 
Watakuja kucomment watu ambao hawajawahi kuexperience mapenzi ya kweli wala kupendwa na mwanamke na watakuponda sana mara ooh unagongewa etc. Ignore them. Mwanamke akipenda anapenda jamanie sio masihara, anaweza akakufanyia vitu mpka ukahisi labda ni jini limekuja kukujaribu kwa njia ya binadamu. A woman's love will make you a believer. Nd yes kuna wanawake ambao pesa kwao sio priorities. And wapo sema humu jf mnadanganyana tu na uvivu wa vijana wa sasa na insecurities zetu. Congrats mkuu
 
FACTS, Jf bhana kazi kwel kwel
 
"Mwanamke anayekupenda kwa dhati haombi hela"

"Akikupenda kwa dhati haombi pesa yupo tayari kuomba mahali pengine lakini siyo kwako"

Viutafiti vingine huwa vinafanya wanaume wawe na michepuko ili hizi kauli ziwe balance
 
Kuna mijianaume mipuuzii sana yenyewe ni kuwawazia wanawake mabaya tu, ati anabembeleza ndoa, manina zenu mkipendwa hampendeki, nkiumizwa mnakuja kulia lia humu buree kabisa.nfyuuuuuxxxxxx
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom