habari ndugu,
daima husipende kusema vitu vya ajabu huoni hata aibu halafu unataka ushauriwe kwani wewe hujioni, kiukweli iwe unatudanganya au unasema kweli utajijua mwenyewe, maana azinie na mwanamke hana akiri ni vema ukawa mwaminifu ukaoa sio unatuletea upuuzi kama huu katikati ya wakubwa kama sisi.:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Kuna mtu alinuliza kuhusu picha, itakuwa sio jambo la busara kwa sababu wanaweza kuwa wapo hapa JF, lakini pia mimi mwenyewe nipo kwenye picha, kumbuka hamna hata mtu mmoja alieweka picha yake hapa Jf.
Mkuu usiwe mbishi, mimi nimetoka na hao wanawake na bado nipo nao
hasa hapo anaposema amepiga bao kumi 10, ni story ya kutunga. inachekesha pamoja na kwamba anajisifia uchafu wa shetani.Stori yako nzuri, ukiiuza kwa shigongo itainunua. JItahidi tu kuiwekea muendelezo sawia!
Huyu ---- anatembea na mke wa mwanaume mwenzie apo apo anamlia na mtt wake... af bado anakuja kuomba ushauri..... hajioni tu amekosa msimamo.. hajielewi
huwa unatumia kinga yaani kondom unapokutana na hao wanawake zako wote wa 3????sema tu ukweli tukupe ushauri sahihi
we endelea kuwagegeda tu hata mtaa mzima kwani mwisho wa siku future yako will take care of itself...PERIOD!
Huyu ---- anatembea na mke wa mwanaume mwenzie apo apo anamlia na mtt wake... af bado anakuja kuomba ushauri..... hajioni tu amekosa msimamo.. hajielewi
habari ndugu,
daima husipende kusema vitu vya ajabu huoni hata aibu halafu unataka ushauriwe kwani wewe hujioni, kiukweli iwe unatudanganya au unasema kweli utajijua mwenyewe, maana azinie na mwanamke hana akiri ni vema ukawa mwaminifu ukaoa sio unatuletea upuuzi kama huu katikati ya wakubwa kama sisi.:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Hii ni true stori, nimeamua kushare sehem ya experience yangu ya maisha kwenye upande wa mapenzi, nao hawa watu nipo nao kwenye mahusiano mpaka mda huu
Utakapo fumuliwa MARINDA ndio utaelewa kuwa kuna tofauti kati ya 'bi mkubwa','binti mkubwa na mupenziMkuu usiwe mbishi, mimi nimetoka na hao wanawake na bado nipo nao
Wana JF hii kitu inaniumiza hasa kuna maneno nikisoma humu ndani, najisikia vibaya. Nampenda 'binti mkubwa' nahofia siku akijua atanichukuliaje, nawaza sana kama ataendelea hata kuongea na mimi, au nitamwambia kitu gani anielewe. Kiukweli nikiwa naye nikimwangalia usoni naumia sana nalazimisha kuwa kawaida mpaka kuna mda ananiuliza nina tatizo gani, namwambia hamna. Hadi chozi huwa linanilenga naamua kuzuga tu.
Mpenzi wangu nampenda sana, tunaongea kila siku kwenye cm, na ananitafuta kuliko hata mimi ninavyomtafuta. hajawahi kunifanyia chochote kibaya cha kulinganishia, kwa ninavyomjua siku akifaham ndio itakuwa mwisho wetu. Yupo mbali lakini naweza kuhisi mapenz yake kwangu kila tukiongea naye. Yan naweza kuwa huku nilipo na nikasema kwa ujasiri kuwa nina mpenzi.
Kubadilisha line, haitasaidia namba zote zipo kichwani.
Nikipotea kwenye ramani zao, nahisi nitaandamwa na mawazo na maradhi ya mawazo. Nikiwaambia, naogopa kuwapoteza. Nlivyokaa kimya bila kusema kitu ndo mawazo ya itakuwaje yananiandama usiku na mchana. Nawaza kama kuna siku haya mawazo yataisha na mimi kuwa huru bila kuwapoteza watu muhim kwenye maisha yangu.