Mteule halisi
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 197
- 98
Naomba nianze kwa kuwasalimu wapendwa,
Yapata miezi mitatu tangu nikutane kimwili na mchepuko wangu, bado sijaoa ila niko kwenye uchumba yapata mwaka wa pili na bibie ambae nimempa nafasi ya kuja kua mke. Katika swala la kujamiiana na ule mchepuko pamoja na mpenzi wangu uwa natumia kalenda tu kuepuka mimba na swala la kinga uwa naliweka pembeni.
Sasa siku ya mwisho kukutana kimwili na ule mchepuko kumbe ulinidanganya na kunitegeshea siku ya hatari na hatimae nikampa mimba bila kujijua, akanitafuta wiki iliyopita na kuniambia ukweli, nikaona ni utani nikamwambia njoo tukapime na kweli akaja na nikathibitisha ni mjamzito.
Kwakweli niliogopa na kuwaza mengi ila akasema kwakua kaamua yeye basi garama za kuitunza adi kulea ni juu yake labda mimi niamue tu kumsaidia na mpaka sasa ujauzito una miezi mitatu. Sasa kupitia hilo kwakweli nimepata fundisho juu ya kumuamini mtu na kutotumia kinga maana nimewaza ni vipi angekua muathirika na kuamua kuniambukiza?
Sasa niko njiapanda maana mchepuko wenyewe umenizidi umri na anadai kafanya hivyo kwakua umri wake umeenda na anaogopa kuzeeka bila mtoto! Na hata ikitokea nikaoa na baadae ikajulikana kua nilikua nachepuka na nina mtoto sijui ndoa itavunjika au vipi.
Wito wangu kwenu: Tuache michepuko jamani na tukumbuke kutumia kinga pindi unapochepuka.