Karibu pia kwa ushauri babyUandishi wako umefanana na watu wa mkoa ulee
Anyway ngoja wanakuja mkuu kuja kutoa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Lewa pombe kabwate wasepe, mi nilivumilia nikachoka nikawa nalewa kisha napeleka neno la uzima home, wameodoka bila kuaga mmmmaamae na wife nayeye kasepa hahahaha nimabaki home aloneHello Jf family
Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.
Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.
Kwa mkutadha huo, interaction ya jamaa na familia ya mke wangu ni kubwa ambayo kimsingi ina impact hadi kwenye distribution ya resources including monetary benefits.
Katika hili nimejikuta nakosa ulali sawa katika kubalance my core family responsibilities and those related to extended family.(wanafamilia mtanielewa katika hili).
Iwe kwa kujua au kutokujua mke wangu pia anaamini katika philosophy ya toa utapata_ kitu ambacho katika utekelezaji wake unatuacha katika hali ya deficit budget na kutofanikiwa kutimiza malengo ya familia yetu mama, kutokana na ku inculcate philosophy ya kumsaidia kila atake show up na uhitaji hasa katika jamaa zake.
Kimsingi my philosophy is different, naamini sana kwenye uwajibikaji wa moja kwa moja and briefly I'm considering my self as a liberal ( there's no free lunch in Paris). Akili na imani yangu inanituma niwe kauzu(full kubana matumizi) ili kufikia malengo ila pressure ya kimazingira inanifanya ku-act differently.
Nimekuwa tolerant kwa muda mrefu nikizani mambo yatabadilika ila philosophy hii naiona hainisaidiii kufikia malengo kwa wakati and in a so efficiency and effective way.
Hivyo, wakuu hebu nisaidieni namna bora kabisa ya kutoka katika utata huu ambao unanifanya kuishi maisha ambayo siyaamini ila mazingira na society expectations zinanipa pressure kuyaishi.
Note: I'm not good in in writing a persuasive thread but please grasp the concept and advise acordingly.
Kind regards.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli kusaidia n muhimu ila inapokuwa too much huwez kusonga kimaendeleo,ukiwa kauzu kwa nia ya kujenga maisha na familia yako tu mkeo ataku-judge n mchoyo,hupend ndugu zake,hapo cha msingi usiwe muwaz na kipato chako,mfano kipato chako n laki moja,mkeo ajue kipato chako n elf 50(japo c vzur kumficha mwenza),hyo hamsin nyngne iweke akaunt separately kwa ajil ya maendeleo,kngne msaada atoe mke kwa kumkabiz yeye hzo hela,then kwa mwez jaribu kumpa mrejesho wa hela zinazotoka nje ya familia yenu,na je zingebak ndan mngepiga hatua gan,mke mwenyewe baadae atajiongeza na kuwa mbanizi,huku wew umejibana pemben,then maisha yanasonga,ukitaka kuendelea inabid uwe mchumi wa hali ya juu,saidia ila isiwe too muchHello Jf family
Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.
Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.
Kwa mkutadha huo, interaction ya jamaa na familia ya mke wangu ni kubwa ambayo kimsingi ina impact hadi kwenye distribution ya resources including monetary benefits.
Katika hili nimejikuta nakosa ulali sawa katika kubalance my core family responsibilities and those related to extended family.(wanafamilia mtanielewa katika hili).
Iwe kwa kujua au kutokujua mke wangu pia anaamini katika philosophy ya toa utapata_ kitu ambacho katika utekelezaji wake unatuacha katika hali ya deficit budget na kutofanikiwa kutimiza malengo ya familia yetu mama, kutokana na ku inculcate philosophy ya kumsaidia kila atake show up na uhitaji hasa katika jamaa zake.
Kimsingi my philosophy is different, naamini sana kwenye uwajibikaji wa moja kwa moja and briefly I'm considering my self as a liberal ( there's no free lunch in Paris). Akili na imani yangu inanituma niwe kauzu(full kubana matumizi) ili kufikia malengo ila pressure ya kimazingira inanifanya ku-act differently.
Nimekuwa tolerant kwa muda mrefu nikizani mambo yatabadilika ila philosophy hii naiona hainisaidiii kufikia malengo kwa wakati and in a so efficiency and effective way.
Hivyo, wakuu hebu nisaidieni namna bora kabisa ya kutoka katika utata huu ambao unanifanya kuishi maisha ambayo siyaamini ila mazingira na society expectations zinanipa pressure kuyaishi.
Note: I'm not good in in writing a persuasive thread but please grasp the concept and advise acordingly.
Kind regards.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello Jf family

Aaaah mkuu thanks ila pombe situmiagiLewa pombe kabwate wasepe, mi nilivumilia nikachoka nikawa nalewa kisha napeleka neno la uzima home, wameodoka bila kuaga mmmmaamae na wife nayeye kasepa hahahaha nimabaki home alone
Sent using Jamii Forums mobile app
Noted mkuuKiukweli kusaidia n muhimu ila inapokuwa too much huwez kusonga kimaendeleo,ukiwa kauzu kwa nia ya kujenga maisha na familia yako tu mkeo ataku-judge n mchoyo,hupend ndugu zake,hapo cha msingi usiwe muwaz na kipato chako,mfano kipato chako n laki moja,mkeo ajue kipato chako n elf 50(japo c vzur kumficha mwenza),hyo hamsin nyngne iweke akaunt separately kwa ajil ya maendeleo,kngne msaada atoe mke kwa kumkabiz yeye hzo hela,then kwa mwez jaribu kumpa mrejesho wa hela zinazotoka nje ya familia yenu,na je zingebak ndan mngepiga hatua gan,mke mwenyewe baadae atajiongeza na kuwa mbanizi,huku wew umejibana pemben,then maisha yanasonga,ukitaka kuendelea inabid uwe mchumi wa hali ya juu,saidia ila isiwe too much
You're almost there... thanks for the nice adviseNadhani hiko anachokifanya mkeo, ni dalali ya kwamba anafahamu A to Z ya uwezo wako au wenu wa kifedha. Jambo ambalo ni zuri, kama wewe na mkeo wote unavision moja. Nje hapo ni lazima ilete shida kama hizo....
Sasa basi, me ningependa kukushauri kwamba, jitaidi sana kadili uwezavyo.... uanze mdogo mdogo kumtengenezea mazingira ya kuona kwamba, kipato mnachokiingiza ni kidogo sana kwenu. Na unaweza kufanya hivyo, kwa kuhakikisha unagawanya mapato ya 2:3:5 katika hali ya usiri mkubwa mno. Huku ukimuaminisha kwamba, 80% ya mapato yote ndio hayo uliyompa yeye, then wewe umebakiwa na 20% only ya emergency katika mizunguko yako.
From there unaanza kujifanya ni kama umemuachia yeye each and everything cha famila.....kwamba yeye ndio apange namna gani ya kutekeleze kila linalotakiwa kufanyika ndani ya familia. I hope ndani ya muda mfupi tu ujao, atatema hiyo amini aliyomeza ya hiyo philosophy.
I wish you all the best chief.
Sent using Jamii Forums mobile app
You can re-locate somewhere else ili kuepusha hayo. Kwani ni lazima muishi hapo hapo mlipo?Hello Jf family