Hapo ni mhuni kashaokota na amefanya manunuzi online, wahi asubuhi nenda NMB jamaa atanunua kitu kingine.Sawa lakini sijafanya transaction yoyote ile iweje nikatwe tu hela?
Itoshe tu kusema jamaa ni mzembeYaan toka October unasubiri mambo ya online na akati ungeyafanya hayo mguu kwa mguu sku iyo iyo wangeblock kila kitu na kadi mpya ungeshaipata ndani ya wiki 2
Sikuhizi unapiga simu tu wablockYaan toka October unasubiri mambo ya online na akati ungeyafanya hayo mguu kwa mguu sku iyo iyo wangeblock kila kitu na kadi mpya ungeshaipata ndani ya wiki 2
Mambo ya kufanya online siyaaminigiPole sana, nenda bank kufunge hiyo huduma ya online
Ila nawe una kauzembe
My Godness!!Kwa nini wameruhusu urahisi namna hii?! Yaani hakuna hata kutumia password!Maana yake mtu akipoteza kadi yake ameisha!Chukua ushauri wa chief hapo wahi asubuhi branch ili wazuie online transactions kwasababu aliyeiokota kadi kaanza kuitumia
Kumbuka ili kufanya transactions online hahitaji passwords ni kuingiza tu account no na zile namba tatu au nne zilizo nyuma ya kadi
Halafu mnategemea nchi hii itakuja kuendelea. CCM watatawala miaka 1,000.Wewe mleta mada nadhani una shida flani kichwani. Yaani toka mwezi wa 10 hujaiblock hiyo card? Halafu unauliza kama zuzu eti hujafanya transaction yeyote kwa nini ukatwe hela? Seriously unauliza swali kama hili?
Mzembe sana huyo...Halafu mnategemea nchi hii itakuja kuendelea. CCM watatawala miaka 1,000.
Kitatizo kidogo namna hii, kashindwa kutatua, kadi kapoteza tangu mwaka jana mwezi wa 10 hajafuatilia wakati bank yenyewe utopolo ipo kila kona.
Haya pesa ilikatwa kwanza 2,000 lileta mada lipo lipo tu kama bolizozo, wamekata tena 81,000
Badala ya kwenda Bank tena limekuja JF kulialia.
Malezi mengine hasara tu.
Subiri ikikatwa 10M kama imo tena urudi hapa.
Nchi hii kama huna roho wa Mungu kufa masikini ni UFALA.
No wonder kina Magufuli wanafanikiwa