Nimetapeliwa na niliyemwamini

Na wewe njoo huku tupige ela KITUNGUU kimekubali! Debe 35k Shambani!
Kumbe uko low kias hiki...unajua mtaji huyu jamaa kapata wapi?! Ati asilie lie ati "korona" mbona una dhardharau namna hii biashara za watu wewe, ??..wewe ungekuwa na biashara ungeomba nazi hizo 500?.acha dharau....
 
Na wewe njoo huku tupige ela KITUNGUU kimekubali! Debe 35k Shambani!

Ahhahaa lini umelima kitunguu wewe!anywys wewe piga huko..nami nipige huku..tukikutana uje unipe chochote kitu walau laki 5...! Mie ntakunulia sox za buku😉
 
Biashara mtandaoni kwa Mtanganyika wa kienyeji bado sana.mimi nimebaki kufanya biashara manually watu hunishanga ila najua nachokifanya.
 
Kuna mtu kaandika '...laki 5' wadau nazi 500 na huko kuzisafirisha thamani yake ni laki 5?
 
Sijui jinsi ya kuqoute. Unaquote vipi?
 
Rommy shabby naona pesa ni ndogo
 
Unataka kusema zote zilikuwa mbovu? Kwanini hapokei na hapatikani? Aanyoroshwe ikiwezekana makazi yake yawe juu ya minazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…