LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,622
Ahahahah..haya masuala nilishaachana nayo. Nilifanya immediatelly after breakup ila nikajigundua ia not my thing japo nilikua nayafanya kwa ufanisi 😂.Weka hapa kaka kwa manufaa ya wengi/ umma
Nikaamua kuachana nayo baada ya kugundua kwangua sex sio suala la kuchomeka na kuchomeka au kuwa tu na mwanamke but kwangu nahitaji sana deep connection kabla ya sex.