Nimetapeliwa na mwanamke mtandaoni

Nimetapeliwa na mwanamke mtandaoni

Pole sana FIKA KWA MWENYEKITI UKIWA NA FIMBO ZAKO MKONONI.

TULISEMA KABLA HUJATUMA NAULI PIGA KWANZA NYETO BAO 1 KISHA NDIO UTAAMUA UTUME AU UKAILE MISHIKAKI

SHENZI 🤣
 
Nina omba msamaha kwa uongozi wa CHAPUTA kwa hili kosa. Jana nimeingia kwenye app ya tagged nikapata manzi na tukaelewana bei, Sasa leo nikamcheki aje kasema nimtumie nauli, nikatuma akasema anakuja mimi nikaenda lipia lodge nimesubiri nikaona kimya nikamvutia waya.

Drama zikaanza mara ooh simu yangu inazima ya mkopo nitumie hela nilipie ila niwasiliane na ww nikiwa nakuja, machale yakagonga nikamwambia mpe boda yoyote namba angu anicall atakuleta nilipo manzi akachimba.

Dadeki lodge nimelipia pesa imeenda bure. Nilichojifunza wakuu UZINZI NI GHARAMA SANA NA TUJIFUNZE KU CONTROL HIKI KICHWA CHA CHINI.
Akachimba
 
Licha ya gharama za uzinzi ila hapo kosa ni wewe kutokua na maarifa sahihi.
Ungeweza kupata manzi ya kufanya nae zinaa at zero (0) risk ya kupoteza shilling 5 yako.
Siku nyingine jifunze au uliza tuliokutanguliašŸ˜‚
Taratibu tutaanza kuunganisha dots.
 
Yaani unalipia chumba bila kuona, sisi wengine ni matomaso
 
Ety wanajikuta wanaweza kuiandaa future hawajui kama Kuna changamoto

Ila uzuri Kuna sabuni za ayuuuu šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Kuna siku nimelipia lodge tukakiwasha saa 3 hadi 5, tukatoka kwenda kutafuta msosi wakafunga geti mazima na niliwataarifu narudi.
Ni bahati nilitoka na kila kitu changu, hadi navyotype hapa nna zile funguo cha kile chumba šŸ˜‚
 
Kwahiyo una chumba chako lodge šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Umechukia chumba bila kujua kama anakuja si tungetulia kwanza hapo lodge kabla ya. Kulipa kwanza
 
Hiyo tagged wanawake wote wanajiuza, nilipata mmoja tukakutana kimara mwisho tena alinielekeza akanikuta tukala bia mojamoja akaniambia tusipoteze muda lipia chumba yaani nilishangaa sana nikafanya hivyo kufika chumbani ananiuliza utanilipa sh ngapi nikamwambia subiri nitoe pesa kwa wakala mbona nilimuacha sijui alilala pale au lah
 
Licha ya gharama za uzinzi ila hapo kosa ni wewe kutokua na maarifa sahihi.
Ungeweza kupata manzi ya kufanya nae zinaa at zero (0) risk ya kupoteza shilling 5 yako.
Siku nyingine jifunze au uliza tuliokutanguliašŸ˜‚
Unawapata wapi mkuu hawa wa zero risk? Maana na mm juzi nimetapeliwa hela ya nauli na hawa hawa wa mtandaoni. Uzuri ulikuwa buku 3 tu so haikuniuma sana šŸ˜‚
 
Nina omba msamaha kwa uongozi wa CHAPUTA kwa hili kosa. Jana nimeingia kwenye app ya tagged nikapata manzi na tukaelewana bei, Sasa leo nikamcheki aje kasema nimtumie nauli, nikatuma akasema anakuja mimi nikaenda lipia lodge nimesubiri nikaona kimya nikamvutia waya.

Drama zikaanza mara ooh simu yangu inazima ya mkopo nitumie hela nilipie ila niwasiliane na ww nikiwa nakuja, machale yakagonga nikamwambia mpe boda yoyote namba angu anicall atakuleta nilipo manzi akachimba.

Dadeki lodge nimelipia pesa imeenda bure. Nilichojifunza wakuu UZINZI NI GHARAMA SANA NA TUJIFUNZE KU CONTROL HIKI KICHWA CHA CHINI.
Ah wazee wa tagged tinder na badooo oyeeee.
Dah nilishakizwa sana huko tinder jamani vihela vyenyewe vya ngama alafu wanapita navyo
 
Hiyo tagged wanawake wote wanajiuza, nilipata mmoja tukakutana kimara mwisho tena alinielekeza akanikuta tukala bia mojamoja akaniambia tusipoteze muda lipia chumba yaani nilishangaa sana nikafanya hivyo kufika chumbani ananiuliza utanilipa sh ngapi nikamwambia subiri nitoe pesa kwa wakala mbona nilimuacha sijui alilala pale au lah
Sasa we ulimuita mje kuimba pambio au kufanya maombi au?
 
Back
Top Bottom