Nimetapeliwa na dereva wa semi

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,482
Huu mwaka nikiumaliza salama basi nitakuwa nimefuzu astashahada ya kitaaolojia. Jana saa 12 nilikuwa na huyo bibie ambaye ni somebody wife wakati tupo uchochoroni akapita jirani yake ikabidi tuzuge kuwa kila mtu yupo na mishe zake. Sasa wakati natoka yule jamaa akaniita akaniambia mume wake akijua atanikata na chainsaw nikipata na hofu ikabidi nigeuze nisirudi geto nikaenda bar ya jirani.

Nimenunua Smartgin yangu na Coca Sasa wakati na sip pembeni alikuwa bro Fulani wale maBig boys tukaanza stori ghafla akaniambia dogo mbona unaishi maisha ya shida sana nikareply mfumo umenikataa brother, akaniambia usijali mi ni Dereva wa Semi nimepaki barabarani natafuta chalii mjanja wa kuwa tingo wangu kama upo tayari njoo tupige kazi ila utachangia kilo kama fee nikalilia akakubali nimpe hamsa nikamvutia waya bimkubwa kuwa anikope 50 akanitumia 20 ikabidi niende geto Kwa kujificha kuchukua pasi na jagi nikavisukuma Kwa 25 nikaongezea 5 nikamkabidhi yule bro.

Nilikuwa na shauku ya ile kazi Kwa kuzingatia mimi nipo more interested na kusafiri pia ilikuwa opportunity ya Mimi kumkimbia mke wa mshikaji.

Yule bro akaniambia Kuna mzigo anaenda kuangusha nao ila tukawa tumeachiana contacts. Toka hapo hatujaonana mpaka wakati huu na contact zake hapatikani.
 
Dogo wakuja Sana.
1. Kosa la kwanza anatabia ya makatibu (kupenda wake za watu)
2. Anapigwa mchana KWEUPE na dereva, dereva Ni MTU wa kumtapeli MTU?
Yaani ubaya wa mke wa mtu unaanza mdogo mdogo baadae unafikia point of no return.

Mwanetu alikuwa anakaa kwa Bro wake kitaa akaanza mla mke wa mtu. Walikuwa wakitaka kuonana kila mtu anaondoka kwa muda wake wanaenda kutana bar ya mtaa wa mbali kinoma hawajulikani na mtu na kila weekend wanabadirisha location.

Ila baada ya muda kupita wakaanza chukulia mambo poa yaani wanaanza enda Pamoja grocery za kitaa, wanashikana mikono ile kagiza ka jioni kitaani, yaani ova wapenzi vile.

Si tukimuambia man, yule mume wa uyo jimama anaonekana kabisa kichwani hayupo fresh maisha yamemvuruga, sasa akijua ili jambo si anazaa na wewe man? Jamaa simple tu anatujibu mbona anajua sema ameona akaushe tu kwanza hawalali kitanda kimoja na mke wake ni kama wamesha achana.

Aisee, siku nipo mkoa nasikia kwenye simu jamaa yupo jela kamkanda na pasi ya moto mke wake mgongoni. Isshu ilikua wamelala usiku mtu na mke wake dogo akapiga simu anambembeleza na maza alivo mende kapokea wanaongea kitandani kwa mahaba akijua mwamba kalala.

Dogo alitoroka usiku ule ule hajakaa amerudi Dar sijui mwamba alitoka jela maana nilihama.
 
Yaani ubaya wa mke wa mtu unaanza mdogo mdogo baadae unafikia point of no return.

Mwanetu alikua anakaa kwa Bro wake kitaa akaanza mla mke wa mtu. Walikua wakitaka kuonana kila mtu anaondoka kwa muda wake wanaenda kutana bar ya mtaa wa mbali kinoma hawajulikani na mtu na kila weekend wanabadirisha location.

Ila baada ya muda kupita wakaanza chukulia mambo poa yaani wanaanza enda Pamoja grocery za kitaa, wanashikana mikono ile kagiza ka jioni kitaani, yaani ova wapenzi vile.

Si tukimuambia man, yule mume wa uyo jimama anaonekana kabisa kichwani hayupo fresh maisha yamemvuruga, sasa akijua ili jambo si anazaa na wewe man? Jamaa simple tu anatujibu mbona anajua sema ameona akaushe tu kwanza hawalali kitanda kimoja na mke wake ni kama wamesha achana.

Aisee, siku nipo mkoa nasikia kwenye simu jamaa yupo jela kamkanda na pasi ya moto mke wake mgongoni. Isshu ilikua wamelala usiku mtu na mke wake dogo akapiga simu anambembeleza na maza alivo mende kapokea wanaongea kitandani kwa mahaba akijua mwamba kalala.

Dogo alitoroka usiku ule ule hajakaa amerudi Dar sijui mwamba alitoka jela maana nilihama.
Mbaya zaidi utembee na mke ambaye mume wake amepigika.
Aisee. Hawa wenye pesa Mara nyingi wako na michepuko au bizi na kuhesabu pesa.
 
....atakukata na chainsaw...!! hapo tu nimepaelewa

kabla hujatapeliwa viAftatu tatu, akili haiwezi kukaa sawa.. umebakiza utapeliwe mara mbili tu ili umalize coz
 
Huu mwaka nikiumaliza salama basi nitakuwa nimefuzu astashahada ya kitaaolojia. Jana saa 12 nilikuwa na huyo bibie ambaye ni somebody wife wakati tupo uchochoroni akapita jirani yake ikabidi tuzuge kuwa Kila mtu yupo na mishe zake Sasa wakati natoka yule jamaa akaniita akaniambia mume wake akijua atanikata na chainsaw nikipata na hofu ikabidi nigeuze nisirudi geto nikaenda bar ya jirani.

Nimenunua Smartgin yangu na Coca Sasa wakati na sip pembeni alikuwa bro Fulani wale maBig boys tukaanza stori ghafla akaniambia dogo mbona unaishi maisha ya shida sana nikareply mfumo umenikataa brother akaniambia usijali mi ni Dereva wa Semi nimepaki barabarani natafuta chalii mjanja wa kuwa tingo wangu kama upo tayari njoo tupige kazi ila utachangia kilo kama fee nikalilia akakubali nimpe hamsa nikamvutia waya bimkubwa kuwa anikope 50 akanitumia 20 ikabidi niende geto Kwa kujificha kuchukua pasi na jagi nikavisukuma Kwa 25 nikaongezea 5 nikamkabidhi yule bro.

Nilikuwa na shauku ya ile kazi Kwa kuzingatia Mimi nipo more interested na kusafiri pia ilikuwa opportunity ya Mimi kumkimbia mke wa mshikaji.

Yule bro akaniambia Kuna mzigo anaenda kuangusha nao ila tukawa tumeachiana contacts Toka hapo hatujaonana mpaka wakati huu na contact zake hapatikani.
Sasa dogo kama life limekaba hivyo inakuwaje unagongea kwa wake za masela, bora hata msela aliyeamua kukuingiza chaka, kwani huenda huyo ni mwenye mke wake aliamua kupima nguvu yako ya kumhonga mkewe😄
 
Huu mwaka nikiumaliza salama basi nitakuwa nimefuzu astashahada ya kitaaolojia. Jana saa 12 nilikuwa na huyo bibie ambaye ni somebody wife wakati tupo uchochoroni akapita jirani yake ikabidi tuzuge kuwa Kila mtu yupo na mishe zake Sasa wakati natoka yule jamaa akaniita akaniambia mume wake akijua atanikata na chainsaw nikipata na hofu ikabidi nigeuze nisirudi geto nikaenda bar ya jirani.

Nimenunua Smartgin yangu na Coca Sasa wakati na sip pembeni alikuwa bro Fulani wale maBig boys tukaanza stori ghafla akaniambia dogo mbona unaishi maisha ya shida sana nikareply mfumo umenikataa brother akaniambia usijali mi ni Dereva wa Semi nimepaki barabarani natafuta chalii mjanja wa kuwa tingo wangu kama upo tayari njoo tupige kazi ila utachangia kilo kama fee nikalilia akakubali nimpe hamsa nikamvutia waya bimkubwa kuwa anikope 50 akanitumia 20 ikabidi niende geto Kwa kujificha kuchukua pasi na jagi nikavisukuma Kwa 25 nikaongezea 5 nikamkabidhi yule bro.

Nilikuwa na shauku ya ile kazi Kwa kuzingatia Mimi nipo more interested na kusafiri pia ilikuwa opportunity ya Mimi kumkimbia mke wa mshikaji.

Yule bro akaniambia Kuna mzigo anaenda kuangusha nao ila tukawa tumeachiana contacts Toka hapo hatujaonana mpaka wakati huu na contact zake hapatikani.

Subiri cm iko chaji
 
Huu mwaka nikiumaliza salama basi nitakuwa nimefuzu astashahada ya kitaaolojia. Jana saa 12 nilikuwa na huyo bibie ambaye ni somebody wife wakati tupo uchochoroni akapita jirani yake ikabidi tuzuge kuwa kila mtu yupo na mishe zake. Sasa wakati natoka yule jamaa akaniita akaniambia mume wake akijua atanikata na chainsaw nikipata na hofu ikabidi nigeuze nisirudi geto nikaenda bar ya jirani.

Nimenunua Smartgin yangu na Coca Sasa wakati na sip pembeni alikuwa bro Fulani wale maBig boys tukaanza stori ghafla akaniambia dogo mbona unaishi maisha ya shida sana nikareply mfumo umenikataa brother, akaniambia usijali mi ni Dereva wa Semi nimepaki barabarani natafuta chalii mjanja wa kuwa tingo wangu kama upo tayari njoo tupige kazi ila utachangia kilo kama fee nikalilia akakubali nimpe hamsa nikamvutia waya bimkubwa kuwa anikope 50 akanitumia 20 ikabidi niende geto Kwa kujificha kuchukua pasi na jagi nikavisukuma Kwa 25 nikaongezea 5 nikamkabidhi yule bro.

Nilikuwa na shauku ya ile kazi Kwa kuzingatia mimi nipo more interested na kusafiri pia ilikuwa opportunity ya Mimi kumkimbia mke wa mshikaji.

Yule bro akaniambia Kuna mzigo anaenda kuangusha nao ila tukawa tumeachiana contacts. Toka hapo hatujaonana mpaka wakati huu na contact zake hapatikani.
Subiri muda bado sana
Unajua kuwa umeme umekuwa shida kwa sasa hivyo anaweza kuwa hana chaji

Usimuwazie mwenzio mabaya kabla ya muda mzuri wa kumuhukumu kufika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka nikiumaliza salama basi nitakuwa nimefuzu astashahada ya kitaaolojia. Jana saa 12 nilikuwa na huyo bibie ambaye ni somebody wife wakati tupo uchochoroni akapita jirani yake ikabidi tuzuge kuwa kila mtu yupo na mishe zake. Sasa wakati natoka yule jamaa akaniita akaniambia mume wake akijua atanikata na chainsaw nikipata na hofu ikabidi nigeuze nisirudi geto nikaenda bar ya jirani.

Nimenunua Smartgin yangu na Coca Sasa wakati na sip pembeni alikuwa bro Fulani wale maBig boys tukaanza stori ghafla akaniambia dogo mbona unaishi maisha ya shida sana nikareply mfumo umenikataa brother, akaniambia usijali mi ni Dereva wa Semi nimepaki barabarani natafuta chalii mjanja wa kuwa tingo wangu kama upo tayari njoo tupige kazi ila utachangia kilo kama fee nikalilia akakubali nimpe hamsa nikamvutia waya bimkubwa kuwa anikope 50 akanitumia 20 ikabidi niende geto Kwa kujificha kuchukua pasi na jagi nikavisukuma Kwa 25 nikaongezea 5 nikamkabidhi yule bro.

Nilikuwa na shauku ya ile kazi Kwa kuzingatia mimi nipo more interested na kusafiri pia ilikuwa opportunity ya Mimi kumkimbia mke wa mshikaji.

Yule bro akaniambia Kuna mzigo anaenda kuangusha nao ila tukawa tumeachiana contacts. Toka hapo hatujaonana mpaka wakati huu na contact zake hapatikani.
mpwayungu village unavituko
 
Back
Top Bottom