Nimetapeliwa na aliyekuwa mpenzi wangu

Hajaacha ata ka boxer kake ama nguo yake apo magettoni? Tumia tamaduni kama revenge! Mtie kitu tu, maana maisha yenyewe taflani, akupigae ngumi ya jicho we mtandike ya sikio.
 
Kitu Cha msingi kwa sahiv we tafuta mume akuowe maana umri ukashipindukia 30 kwa mwanamke sisi wanaume huwa tunaogopa kuwatongoza tunawaona mashangazi labda mtutongoze wenyewe hvyo kupata mume tena inaweza kuwa ngum Kama hujui kutongoza wanaume au kumloga mmoja
 
Huyo jamaa hiyo nyumba alikuwa anajenga yeye amekudanganya tu kuwa ni mtu baki. Ukitaka kujua nenda site hamisha materials uone kama kuna mtu atalalamika. Wala hujatapeliwa bali jamaa anakuchezea akili tu. Trust me
 
Kama mtu ana nia ya kumsaidia huyu dada kazi au hifadhi kwa muda iyo 75,000 kodi afanye kwa moyo mmoja na siyo kusaidia ili amkomoe au apate lolote.

Between that pole sana binti, jipe moyo na tafuta hata kazi ya kuosha vyombo na ninakusihi usimuamini mtu yoyote kwa makubaliano ya pesa au kuwekeza.

Pambana upate mtoto na umtunze kwako.
Ukiwa mwema jaribu utafute mwema mwenzako.
Hatuna cha kukushauri kwamba utakomboa mali sababu jamaa amekutapeli tayari kuliko kumfatilia ni bora ugange kwingine kivyako.
 
weka hapa kapicha tukusaidie kumsaka....ndio wale wasemaga ""urembooo"".....3 yrs mnakulana tuu...duh...pole mdogo wangu ...wanasema mapenzi upofu...rudi kwa mama ukajipange upya....hawa ndio wanasababisha warembo wa siku hizi wanakawia kukugea nyapu....eti.. "nipe muda au bado nakutafakari"""
 
Acha weeeee.

Wewe huyu huyu au mwingine.

Thread 'Gardener anatafuta kazi.' Gardener anatafuta kazi.
Post zangu almost zote nimepost on behalf.Vijana wengi baada ya kufanya kazi zangu huhitaji kuendelea kufanya kazi,nami nina limit ya vijana/staff that's why nakuja kuwatangazia huku JF na kwingineko.
Mm nimeacha kuajiriwa zaidi ya miaka 7 iliyopita.
Kwenye ajira zangu zote zilizopita nilikuwa kwenye senior position.
Sasa hivi ni Owner wa some projects.
Karibu PM kama hutajali..!
 
Hii ni chai tu Wala sio kweli ,mtaji wa ulembo na sendo mjenge nymba Tena mwaka mmoja tu hii haipo .Pia huwez kununua kiwanja na muanze ujenzi bila kiwa na barua ya mauziano .kuwa mkweli kama una shida omba msaada usaidiwe
 
Pole sana, unaonaje ukirudi nyumbani kwa mama hadi biashara yako ikisimama tena.
Maana utasaidiwa kodi ya mwezi mmoja, na miezi inayofata itakuaje
Soma maelezo yake vizuri hii n stor katunga tu .lengo ANAHITAJI msaada Ivo kailjificha kwenye kivuli Cha utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…