Nimetapeliwa mwenzenu!

Nashangaa kweli yaan
 
Kweli nyani haoni kundule,ko ukitukana ww sawa! Ila ukiambiwa ukwel n matusi!
Unajifanya unapesa sana haya msaidie basi nauli aende kanisani mana anatia huruma!
 
Kila siku napost hapa kuwa usimpe mwanamke pesa.
Hata akikupa maku usimpe pesa
Acha ujinga
Sasa watu mnataka kuoana haya ya kuombana nauli elfu 50 yanatoka wapi?
Umetapliwa na kidume trust me.
Wamekuchezea mchezo
Naomba nipm....kuna ishu ulipost nahitaji msaada
 
Bora wewe mm nilimtumia x mshiko afanye kitu cha faida,mshiko mnene,akatia ndani na kuhama mji kaenda zake kanda ya ziwa
 
Mtanange unaendelea ,kwani Moderater hawahuoni huu uzi ama wako bize na tuzo za stories of change
 
Sikiliza dogo...

Mimi humu nilishaanzishiwaga uzi tena mara mbili
Mmoja na jamaa flani hivi
Na mwingine na lishangazi flani hivi
Unajua nini
SIKUJIBU HATA SENTENSI MOJA
unakua kwanini
HUNILISHI,HUNIVISHI,HUMU JF SIO KAZINI KWANGU,SIPATI HATA MIA HUMU,
HUMU SIO MAMA ANGU WALA BABAANGU,
utanifanya nini zaidi ya kuandika hapa...
Sooo niliendelea na maisha yangu kama kawaida...
Unatishika na mtu hamuishi nae??hajui leo asubuhi umekula nini?
Mwanzoni wakati nasome i felt very baaad...but then nikawaza kitu kimoja
KUNA MTU HUMU ANAWEZA AKAKUPA HELA KABLA YA HUDUMA KWELI??? kama ndo alikua anataka?
Kwa kuwa ulikua unahitaji mwenza kama bado hujapata you need to clarify ila kama hutaki tena au ushapata...usiongee tena..
Cha mwisho nakuadivice mdogo wangu
Tafuta ela na tafuta biashara usione aibu...anza kupika chapati na vitafunwa vizuri kama huna ujuzi (ingia you tube)
Tafuta sait anza kuuza...pia pika keki anza kuomba tenda kwenye kindergarten
Plzz....tafuta ela in anymeans
Mwenzio kabla sijapata mume i was sooo desperate
Ila sasa hivi muda mwingine najutia hata kuhangaika vile maana sasa hivi niko kwenye mihangaiko yangu nakutana na kila aina ya hao viumbe sema ndo nishaolewa hivyo.
Cha mwisho:UKITAKA MWANAUME wa kukuoa usiombe ela...narudia tena usiombe ela even a single cent...
Ukiomba ela tayari mwanaume yoyote mwenye akili ataona red flag
Na mwanaume mpuuzi ataomba jicho.
Ukitaka ushauri zaidi njoo inbox
 
Ohio,another one
Hapana kabisa...jamaa alipost kuusu chuo cha mwika nataka nimpeleke mdogo wangu pale..
Mi tayari mzee ndungu yangu...ni mmama nakaribia kupata wajukuu..
And plus pm yake huyo imefungwa...
 
Mwenzenu nimetapiliwa af ww wacheka!
Ebu rejea ule ujumbe wako unaoonesha umetuma pesa, ni mtandao gan wanatuma 50k kwa makato ya 9000? Ndio mana nakuambia ukweli mnaujua nyie sisi hapa tunapiga jaramba time isogee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…