Nimetapeliwa mwenzenu!

[emoji23][emoji23] mkuu uliomba vitu vizito
Mkuu silagi tope! [emoji3][emoji3]
Ukisoma vzur hapo kuna mbaba mwengine wa Kimara nae katuma alufu 7 sa cjajua kati yangu na huyo mbaba nani aliomba tope,labda aje awaambie vzur
 
Kama nakusingizia hio namba ni ya nani?
Je unaitambua au huitambui???
Acha tamaa za kijinga binti,shida (njaa) haziishi!
So uliomba nikutumie pesa ilihali ukijua huwezi kuja kuitumikia (kutoa mbususu) kama unavodai tulikubaliana kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu?
Ulichokua unataka ni pesa yangu tu na sio kuja kutoa mbunye kama yalivokua makubaliano yetu?
Huoni kama umekiuka makubaliano yetu tuliopanga? Huoni kama huo ni utapeli na wizi wa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu?
Nakushauri wacha hii tabia mara moja,usirudie tena kwa mtu mwengine.
Ww ndo mwenye akili za kitoto na unafeki maisha so ulitegemea ningenyamaza ili uendelee kutapeli watu wengine humu?
Na kama ulikua na shida ya pesa si ungeniomba tu kistaarabu,nione kama naweza kukusaidia ama laah!
 
Ukiombwa kistaarabu unataka mpaka upewe mbususu ndio maana akaona akutapeli mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Em hold on, siku hizi mnatuma elfu 50 kwa tozo kubwa hivyo??

Mmhhh!

Cc To yeye Demi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Smart911 njoo unitag nilivyokuibia sikuile.....mbona hujawahi sema au ndo ushazoea matukio.... Iyola99 & Spark wamekichafua huku
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Smart911 njoo unitag nilivyokuibia sikuile.....mbona hujawahi sema au ndo ushazoea matukio.... Iyola99 & Spark wamekichafua huku
Wewe Jirani hunaga njaa njaa...

Wala hujawahi nigasi na mambo ya kuniomba omba pesa wala kuniletea shida zako...

Siku ukiniomba nakufungulia thread Jirani hahahaha....
 
Ukiamua kugawa zawadi usije humu kulalamaπŸ₯±
 
50,000 yazua kizaazaa.

Kumbe watu wanaweza kufanya makubaliano kabisa ya kuuza na kununua. Sasa mkishindwana kwa nini ulete huku?

Mleta mada, next time hakikisha pesa inafatwa, usithubutu kutuma nauli tena...unless of oz awe tayari ni wako.

Kosa la mleta mada.
 
Wewe Jirani hunaga njaa njaa...

Wala hujawahi nigasi na mambo ya kuniomba omba pesa wala kuniletea shida zako...

Siku ukiniomba nakufungulia thread Jirani hahahaha....
😳mimi siombi? Au umekosea kuquote?.....nifungulie thread uone utakavyotrend.πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…