Nimetapeliwa mwenzenu!

Watu waliuponda ule uzi, "usimwonee huruma kabisa mwanamke.." ila mimi nauheshimu na umebadilisha sana life langu ndani ya muda mfupi.
Mwanamke hana shukrani wala hakumbuki fadhila za mtu akipata mfadhili mwingine.
Humu JF Kuna ushauri mwingi sana unaojenga. Mimi nilikua mmoja wapo, mtu wa kubisha. Ila saiz nauamini 100%.

Mwanamke jitahidi awe mtumwa wako kiuchumi au kinnamna yoyote ile. Familia itakua yenye maadili na pia watoto watakua na utambuz wa kiakili sana. Ila mwanamke akiwa juu yako, ukimhusudu Kam malaika, hata hiyo familia itakua ya ajabu sana.
 
Mtag
 
Mwendee kwa mtaalam Bagamoyo hapo atainya Mara tatu zaidi
 
Hebu mtag mkuu, uokoe na wenginr pia.
Lakini pia ili kama na yeye aliteleza akutafute.
 
Kama huwezi kutag ID yake bhasi ni chai kavuu hiii...!! ID ya mwizi haiwi protected..
 
Kwann usitume screenshot ya huyo mdada alietuma hilo ombi la kutafuta mme ili na sisi tumtumie zngne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…