Kwani hukusoma comment mkuu maana kamtaja zaidi ya mara 3 kwenye comment. Yeye kamtaja Iyola99 na huyo member juzi tuu alianzisha uzi anatafuta mume, kwahiyo wametapeliana katika process za mke/ mme mwema anatoka jeiefuHata wewe umeshindwa kumtaja.
Kama kamtaja si ungesema hapa kuwa kamtaja fulanj?
Tunapenda sana ubuyu bila facts
Hayo ndo maneno.Kwani hukusoma comment mkuu maana kamtaja zaidi ya mara 3 kwenye comment. Yeye kamtaja Iyola99 na huyo member juzi tuu alianzisha uzi anatafuta mume, kwahiyo wametapeliana katika process za mke/ mme mwema anatoka jeiefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anatokea LAMADI mkuuNauli elfu 50 anatokea busisi au?
Basi 1200 inatosha kabisa mkuu, hapo na ya kutolea ipo[emoji1787]Bado hela ya maji njiani mkuu inabidi utume pia, mwenzio katuma nauli na hela ya maji njiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu na bahati zao [emoji1787]Njoo DM tutapeliane vizuri [emoji23]
Wewe utakuwa ulifaidi, hadi hujuti mkuu[emoji1787][emoji1787]itakuwa ulimfaidi mtanga. Watu humu mnainjoy sana...Kuna mmoja wa Tanga aisee sijutii...JF for life
Wazee wenzangu wa kuweka mzigo kubeti njooni muone kanji alivyompiga mbetiji mwenzenu.Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Mie nimesema cha mwanaume, kama wewe umeamua kuwa mwanaume bwege pia ni sawa tu.
Huwa najiuliza hawa wanaotafuta waume humu hivi wako serious kweli!! Haya sasa hao ndio watafutwaji🙆🙆🙆Hizi akili hizi sijui mna shida gani!!!! AMEKUAMBIA ANAHITAJI MUME; Very straightforward halafu wewe unawaza kumchezea.....
HONGERA KWAKE ingawa SIUNGI mkono kuchukua mali ya mtu...
Ukiona mwanaume bwege ujue yupo mwanaume mjanja pia, ambaye mimi ni mmoja wapo!Mie nimesema cha mwanaume, kama wewe umeamua kuwa mwanaume bwege pia ni sawa tu.
😂 nakuja,ila nataka niwe wa kwanza kukutapeliNjoo DM tutapeliane vizuri 😂
Uzuri ni kuwa hata bwege hujiona mjanja.Ukiona mwanaume bwege ujue yupo mwanaume mjanja pia, ambaye mimi ni mmoja wapo!
Repoti kuwa umekosea muamala ....Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!