selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 468
- 639
Wakuu kwema?
Straight to the point. Ipo hivi, juzi nimeagiza simu online kwa jamaa flani ambaye actually hatufahamiani but kilichofanya nimuamini ni kuwa kuna kipindi nliwahi kufanya nae biashara kwa kuagiza simu na actually alinitumia kwa uaminifu mkubwa huku mkoani na nkaipokea.
But this round nmeagiza simu, but baada ya siku kama mbili nikiwa nimeshamtumia pesa naona chenga zimekuwa nyingi, hapokei simu na ameni block.
Meaning that kanipiga! Naombeni ushauri nini kifanyike niweze atleast kumpa adabu huyu mwamba, maana simu yake ipo hewani muda wote. But actually nakiri kuwa mimi pia nlifanya makosa.
NB: Matusis are totally not entertained!