Nimetandika mwenyewe ila talala pekeyangu

Nimetandika mwenyewe ila talala pekeyangu

Hicho kitanda cha watu watatu hata pillows zipo 3,wewe ,mke,mwanaserere
 
Hicho kitanda cha watu watatu hata pillows zipo 3,wewe ,mke,mwanaserere

Aah wapi zote natumia mwenyewe mmoja mapajani, mmoja kifuani na wa mwisho kichwani
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa umekuwa mkweli mno Madame B ukigombea ubunge utashinda kwa kishindo

.....hahahahah,
Asavali.....ila hata mimi nikilala, napenda sana kuweka mto katikati ya mapaja, nasikia raha sana + na ule ubaridi, raha sana.
ila kulala na mdoli kulinishinda, tangu mdoli wangu unisemeshe usiku....sina hamu mshana jr
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo mto una kazi ya kuzuia mashuti kama golikipa..ila na hisi mashuti ya mshana jr yanapitiliza tu fyuuuuu

Hahahahah.......haloooo.
wanaume mnalalaga kiajabu sana...mara mkono ndani ya boxer, mara mmeshikilia niniu....mara mmekumbatia midoli...ili mradi tu mpate stimu
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo mto una kazi ya kuzuia mashuti kama golikipa..ila na hisi mashuti ya mshana jr yanapitiliza tu fyuuuuu

Inaitwa made in kwemashai sa kishiki cha mziaghembe ngumuuu ina shabahaaa...!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom