Nimetamani Kwenda Brazil

Nimetamani Kwenda Brazil

Yani ukapambane Brazil? huu ni mzaha sasa.

Mkubwa Brazil ni Nchi ya 98 yenye watu masikini Duniani, huwezi kufananisha na Tanzania ambayo ni Nchi ya 24 yenye watu masikini Duniani, kwaio ni bora kwenda kutafuta kuliko kukaa tu nyumbani mkubwa wa kazi maisha popote
 
Mapambano yako ya namna nyingi mkubwa, na Brazil sio ndo mwisho wa safari, ww ambaye uko marekani Sema Alhamdulillah
Wala sipo Marekani, ila unapaswa kuwa na information sahihi, nchi za kubeba box zinajurikana na siyo Brazil, labda kama wewe ni mtu wa Cocaine hiyo ndio sofa ya Brazil.

Kwenye maisha ya utafutaji jitahidi kuwa na taarifa sahihi.

Kaza msuli uingie North America au Marekani kwenyewe, Ingia Europe hasa UK, Ingia Japan, ingia Australia, Ingia New Zealand.

Utafutaji ni lazima uwe na plan siyo kuangalia Picha za nchi Fulani zikakuvutia, nenda halafu utauona mziki wake.

Watanzania wengi waliopo Brazil ni wazungu wa meli na wazungu wa unga, Mzungu wa meli hachagui nchi, popote atakapomwagwa ndio chimbo lake.
 
Mkubwa Brazil ni Nchi ya 98 yenye watu masikini Duniani, huwezi kufananisha na Tanzania ambayo ni Nchi ya 24 yenye watu masikini Duniani, kwaio ni bora kwenda kutafuta kuliko kukaa tu nyumbani mkubwa wa kazi maisha popote
Achana na hizi takwimu ndio zitakupoteza kabisa kuingia chaka.

Finland ndio nchi namba moja duniani kwa wananchi wake kuwa na furaha, sasa Finland inaizidi Marekani?

Unapotaka safari pata taarifa sahihi na tafuta connection na network kwanza.
 
Kama nimeweza kukaa Bongo Brazil haiwezi Kunishinda Mkubwa, dhumuni ni kupata uraia, nikiwa na passport ya Brazil mkubwa

Naweza kuingia nch 167, bila Visa tena miongoni mwanchi ulizozitaja zimo Japan, New zealand, south Korea, Austria, nchi nyingi tu zipo kaka, wewe wa kutupa moyo sisi vijana tuliochoka na jalamba hili
 
Inawezekana utoto unakusumbuwa, Mimi nimekwenda Uingereza tukiwa hatutumii viza kwenda UK unagongewa entry tu airport na bado ni watu wachache waliokuwa wanakwenda, sanasana vijana wa kariakoo na Wazanzibar ndio walitumia hiyo fursa ya common wealth.
 
nina ndugu zangu wapo Uingereza kwa miaka 30 sasa tena ni Raia kabisa, lakn hawana msaada wowote tushapambana sana kuwalilia japo watutumie mialiko tu then tukishafika tuanze harakat wenyewe,

Sometimes mzee tunaona hatuna namna, sasa hivi kuipata safari ya Uk, Marekani, sio chini ya 10.ml, Pesa hiyo kwa Nchi yetu ni pesa nyingi sana kuipata, tunaona bora twende tunapopaweza ili tuone yajayo
 
Sasa hizo nchi kama UK ukiwa una ndugu hawana msaada unajipanga na vyuo vya bei rahisi unatobowa.

Kuna kipindi Lincoln college walikuwa wanatowa Admission letter bila kulipa chochote Wabongo wakaharibu, ndio maana unakuta kuna watu wanafungia vioo wabongo ni wasengee sana kila sehemu lazima waharibu, hadi ubalozi wa Marekani kulikuwa na mchongo wa kuchukuwa viza bila usumbufu kuna mbongo yupo Marekani akapiga simu akachoma, wazungu walisema wazi wamepigiwa simu ABC na mtu mwenyewe tunamjuwa na alisaidiwa kwa mchongo huohuo.

Ni vigumu sana kuelewa mioyo ya Watanzania INA nini, unakata tawi ulilokalia, ndio sababu kuna watu unaweza kufikiri wana roho Mbaya kumbe tatizo ni matendo waliyofanyiwa, hawana mpango na mtu, Wabongo ni nuksi tu.
 
wabongo wana roho mbaya sana sasa ameona amekwisha pata hakaona wengine wa kazi gani basi angekaa kimya akaona na kukaa kimya ameshindwa akapiga na simu kabisa kuwakatili wabongo wenzake wasifanikiwe kwakua yeye tayari amesha fanikiwa hii si roho ya kichawi kabisa huyo jamaa Mshenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom