Nimetamani Kwenda Brazil

Nimetamani Kwenda Brazil

Muhimu hilo mzazi tunaenda kuforce uraia kwanza
uraia wao sidhani kama utakua mgumu sana kupata kuna mdau JF hapa alisema ukikaa ndani ya miaka miwili bila kuvunja sheria au kosa lolote la uvunjifu wa sheria unapata makaratasi sijui ni kweli?
 
urahia wao sidhani kama utakua mgumu sana kupata kuna mdau JF hapa alisema ukikaa ndani ya miaka miwili bila kuvunja sheria au kosa lolote la uvunjifu wa sheria unapata makaratasi sijui ni kweli?

Yeah ni kwel mzazi miaka miwili tu
 
ad6cfe1336ac6463056c98b08032e117.jpg
 
umenikumbusha mwanangu chancha montelo kavuruga Sana Brazil majiji Kama Fortaleza, olinda, Porto alegre Ni ngada tuu impeleka nchi nyingi mwamba hadi Iran katimba rest in peace mwamba
 
Back
Top Bottom