Nimetafakari Sana kwa Picha Hii

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
image.jpeg
 
Hii nimewahi fanya mara kadhaa, nauza kuni. Napata hela ya kununulia uniform shule ya Msingi na daftari, forget about shoes. Shoes mmmmmhhhh waliosoma enzi hizo wanajua maana ya kupekua na umande ni kiti gani. That's where we are from
 
Ndio hali ya umaskini inavyotutesa waafrica.

Kwa wenzangu na mimi makabwela hiyo ni kawaida sana,

Nikikumbuka kipindi nauza mchicha kwenye beseni. Nazunguka mtaani kusaka pesa nikiwa na umri chini ya miaka 10,

Love u Mom ulinitoa mbali.
 
Back
Top Bottom