Gooluckyshy New Member Dec 9, 2022 1 0 Dec 11, 2022 #1 Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
AGITATOR JF-Expert Member Apr 7, 2019 4,919 6,163 Dec 11, 2022 #2 Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?.
little master JF-Expert Member Jul 16, 2018 1,397 2,468 Dec 11, 2022 #3 AGITATOR said: Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?. Click to expand... Hii bongo ni balaa mzee
AGITATOR said: Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?. Click to expand... Hii bongo ni balaa mzee
H handsomezombie12 Member Jun 10, 2022 73 121 Dec 12, 2022 #4 AGITATOR said: Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?. Click to expand... makosa madogo hayo kwenye kutype yani umeshindwa kabisa kujua kwamba mtoa mada ameteleza ... wewe ndio haupo serious sasa
AGITATOR said: Experience miaka 4, umri wako 3 seriously?. Click to expand... makosa madogo hayo kwenye kutype yani umeshindwa kabisa kujua kwamba mtoa mada ameteleza ... wewe ndio haupo serious sasa