Mwaka wa sita nipo mtaani na degree. Kati ya sita, miaka 2 ndio nilikuwa na ajira ya mkataba. Sikukatishi juhudi za kutafuta ajira lakini ukweli Ni kuwa ajira Ni chache Sana, na niza kujuana Sana.Nina bachelor degree ya IR (International Relations)
Nmeomba kazi kuanzia January hadi hivi ninavyoongea yaani kila siku nikiona tangazo la kazi nliyosomea na apply
Ila sijapata chochote, wale wenzangu waliomaliza wakapata kazi mnatumia mbinu gani?
Mwaka wa sita nipo mtaani na degree. Kati ya sita, miaka 2 ndio nilikuwa na ajira ya mkataba. Sikukatishi juhudi za kutafuta ajira lakini ukweli Ni kuwa ajira Ni chache Sana, na niza kujuana Sana.
Kumbuka pale ofisini unapopeleka application letter & CV yako Kuna watu Wana ndugu zao na marafiki wenye elimu Kama wewe na hata uzoefu kukuzidi wewena wanatafuta ajira Kama wewe. Ajira hamna asee.
Kuna siku nilipewa kazi ya muda mfupi, nkaanza kutafuta vijana wa kufanya nao kazi hiyo, nilihitaji vijana Kama 20. Niliwapigia watu wawili nkawaambia nao wanitaftie wengine, hiyo ilikuwa kwenye saa mbili usiku, kuja kufika asubuhi tayari list ilikamilika mpaka wa emergency walikuwepo.
Anza kujiuliza maisha yatakavyoenda endapo hautapata ajira!!!
Polee sanaa mkuu wangu.Mwenyezi akufanyie wepesi.
NB;kwaio ulivosoma IR ukajiona usha kua balozi tayari,tuwe makini na fani za kusomea.
Utanisamehe ndugu, kwa uandishi huo, wewe ni msomi kweli?IR s lazima balozi ndugu,unaweza kuwa hta pR,information officer,yaan n ving saana vmebebwa na IR
Uskalili
Kma wew unakaz mashkuru Mungu
Uskufuru.