Nimesoma International Relations, naomba mbinu za kupata kazi

ngosha o dakama

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
1,010
2,000
Polee sanaa mkuu wangu.Mwenyezi akufanyie wepesi.
NB;kwaio ulivosoma IR ukajiona usha kua balozi tayari,tuwe makini na fani za kusomea.
 
Kashaija72

Senior Member
May 18, 2020
199
500
Nina bachelor degree ya IR (International Relations)

Nmeomba kazi kuanzia January hadi hivi ninavyoongea yaani kila siku nikiona tangazo la kazi nliyosomea na apply
Ila sijapata chochote, wale wenzangu waliomaliza wakapata kazi mnatumia mbinu gani?
Mwaka wa sita nipo mtaani na degree. Kati ya sita, miaka 2 ndio nilikuwa na ajira ya mkataba. Sikukatishi juhudi za kutafuta ajira lakini ukweli Ni kuwa ajira Ni chache Sana, na niza kujuana Sana.
Kumbuka pale ofisini unapopeleka application letter & CV yako Kuna watu Wana ndugu zao na marafiki wenye elimu Kama wewe na hata uzoefu kukuzidi wewena wanatafuta ajira Kama wewe. Ajira hamna asee.
Kuna siku nilipewa kazi ya muda mfupi, nkaanza kutafuta vijana wa kufanya nao kazi hiyo, nilihitaji vijana Kama 20. Niliwapigia watu wawili nkawaambia nao wanitaftie wengine, hiyo ilikuwa kwenye saa mbili usiku, kuja kufika asubuhi tayari list ilikamilika mpaka wa emergency walikuwepo.
Anza kujiuliza maisha yatakavyoenda endapo hautapata ajira!!!
 
namriny

Senior Member
Mar 21, 2020
157
250
Jamani

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
20,845
2,000
Tafuta vi sub course usome hata ukiomba kazi use na ujuzi wa kumshawishi mtu
 
namriny

Senior Member
Mar 21, 2020
157
250
IR s lazima balozi ndugu,unaweza kuwa hta pR,information officer,yaan n ving saana vmebebwa na IR
Uskalili
Kma wew unakaz mashkuru Mungu
Uskufuru.
Polee sanaa mkuu wangu.Mwenyezi akufanyie wepesi.
NB;kwaio ulivosoma IR ukajiona usha kua balozi tayari,tuwe makini na fani za kusomea.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,543
2,000
IR s lazima balozi ndugu,unaweza kuwa hta pR,information officer,yaan n ving saana vmebebwa na IR
Uskalili
Kma wew unakaz mashkuru Mungu
Uskufuru.
Utanisamehe ndugu, kwa uandishi huo, wewe ni msomi kweli?
Jaribu kuwa makini, pengine hata hapa kuna atakae weza kukusaidia, kama ambavyo umepata wazo la kuanzisha uzi. Ila atakapoona uandishi wako, hatashughulika nawe.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom