H hkeenshine Member Joined Jan 5, 2013 Posts 36 Reaction score 4 Jan 9, 2013 #1 jamaa mmoja alitupia k2 cha Chuga , eti juu ya mti. bahati mbaya c akadondosha njiti ya kiberiti akaitazama akaZOOM, akaona ipo karibu saizi ya kuinama tuu, si akainama aokote, kilichotokea mimi sijui! nilisia tu! alafu kimwaaa!
jamaa mmoja alitupia k2 cha Chuga , eti juu ya mti. bahati mbaya c akadondosha njiti ya kiberiti akaitazama akaZOOM, akaona ipo karibu saizi ya kuinama tuu, si akainama aokote, kilichotokea mimi sijui! nilisia tu! alafu kimwaaa!