Hii nchi kila siku michango tu
Harusi
Send-off
Birthday za wadada
Yanga
Taifa stars
Daaaa huchomoki
Kwani mataifa mengine yanafanya Je ?!. Sisi tumekwama wapi ?! Mbona hua kuna pesa za kununua wapinzani na chaguzi za marudio ya maigizo ?! Tena mabilioni !! . Kwani mipango haikuepo toka timu ilipofuzu ?!.A.alleikhum,nimesikitishwa na habari ya timu yetu ya taifa Taifa Stars kuhitaji kuchangiwa pesa ili kumudu gharama za mashindano ya Afcon..
(Source:Mwananchi)
Taarifa hii imeniacha na maswali mengi kuhusu mapato ya wizara,shirikisho na mamlaka zinazohisika juu ya hili,ni kwamba hazina pesa au ishakuwa tamaduni kutumia timu kama mwamvuli wa kuchukua visenti toka kwa raia mnyonge ikiwa kuna serikali/wizara husika,nimetafakari mpaka na makusanyo ya matrilioni ya TRA kwa mwezi...
Inatosha,ila hili nimelipokea kwa kighazabika sana...View attachment 1129881
Taifa linatembeza bakuli,halafu Simba wanatucheka Yanga. Atakaechangia hajielewi. Bashite si awachangie? Najua Magufuli kamnyima pesa Harrison. Ndo maana Harrison hana jinsi imebidi aje kwa wanyonge. CAF inatoa hela,wamezipeleka kwenye Sitigilas goji?
Kwani mataifa mengine yanafanya Je ?!. Sisi tumekwama wapi ?! Mbona hua kuna pesa za kununua wapinzani na chaguzi za marudio ya maigizo ?! Tena mabilioni !! . Kwani mipango haikuepo toka timu ilipofuzu ?!.
Kuna moja nilihudhuria jana kidada kinaishi getto la ovyo kweli..lakin nashangaa sikuona kinywaji cha bei ya magufuli..yani zile gharama ni 2m na upuuziHahaha umenichekesha eti birthday za wadada.
Kuna moja nilihudhuria jana kidada kinaishi getto la ovyo kweli..lakin nashangaa sikuona kinywaji cha bei ya magufuli..yani zile gharama ni 2m na upuuzi
Nikawa nakiangalia nasema haka katoto kanatumia nin kufikiri,
Hapa hakuna cha msingi hata kimoja unachopaswa kuchangiaHii nchi kila siku michango tu
Harusi
Send-off
Birthday za wadada
Yanga
Taifa stars
Daaaa huchomoki
Ndio ndioHapa hakuna cha msingi hata kimoja unachopaswa kuchangia
Hiyo ndio shida ya maslay kwini.... Hizo pesa angefanya mtaji Kwani angekufa ?Kuna moja nilihudhuria jana kidada kinaishi getto la ovyo kweli..lakin nashangaa sikuona kinywaji cha bei ya magufuli..yani zile gharama ni 2m na upuuzi
Nikawa nakiangalia nasema haka katoto kanatumia nin kufikiri,