Nimesikitishwa sana na jinsi Gazeti la kaka yangu Mbowe (Tanzania Daima)................

Nafikiri tunakoelekea sasa siko, hii ni ishara mbaya watu wanaonyesha wameshachoka watawala wanatakiwa kuchukua hatua mapema, dhuluma na mambo yafananayo na hayo yakomeshwe vinginevyo tutasikia mengi
 
Cha ajabu hili ni miongoni mwa magazeti yanayo uza sana, naonaga huku mikoani watu hua wanaonaga aibu kununua gazeti kama Uhuru, Habari leo na yenye mwelekeo wa kiccm, mnunuaji hununua na kuishia zake huyooo!
 
kama hii habari niyakweli basi tanzania daima haina tofauti na magazeti mengine ya udaku.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…