Nafikiri tunakoelekea sasa siko, hii ni ishara mbaya watu wanaonyesha wameshachoka watawala wanatakiwa kuchukua hatua mapema, dhuluma na mambo yafananayo na hayo yakomeshwe vinginevyo tutasikia mengi
Cha ajabu hili ni miongoni mwa magazeti yanayo uza sana, naonaga huku mikoani watu hua wanaonaga aibu kununua gazeti kama Uhuru, Habari leo na yenye mwelekeo wa kiccm, mnunuaji hununua na kuishia zake huyooo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.