Nimesikitishwa na Watanzania!

nadhani wewe utakuwa sio mjinga ila punguwani, unasema unaangalia tv ofisini badala ya kufanya kazi. Sasa wewe na waloenda kumzika Kanumba kuna tofauti gani. Tupo kumzika shujaa wetu. R.I.P Kanumba

Huna hekima wala busara! Kama huu ni msiba shujaa kazi ipo
 

Ndo kakutuma uje utuite wajinga? Na yeye kwa vile hajajumuika siyo mjinga? Nae asubiri msiba wake tuone nani atamzika kama hajumuiki na jamii au anafiki hela zake ndo mwisho wa yote kwahiyo zitamzika?
 
msidhani watu wengi waliokwenda kwenye msiba wa sk wanampenda, la hasha.Najua kwa ugumu wa maisha ya bongo wengi walifuata mpunga tu! unabisha?
 

ha ha alifute vizuri lile jina la waziri mkuu aliyejiuzu!
 

Waweza kuhamia huku...ntakusaidia permision ya kuishi hapa Canada.
 

Kwa hiyo wewe uliyewahi kufiwa nchi nzima iliacha kazi ikaja kwako?
 
Ndo kakutuma uje utuite wajinga? Na yeye kwa vile hajajumuika siyo mjinga? Nae asubiri msiba wake tuone nani atamzika kama hajumuiki na jamii au anafiki hela zake ndo mwisho wa yote kwahiyo zitamzika?

Kwa ulichopost hapa sioni Jina zaidi ya kuku brand wewe unauenda wazimu wa fikra
 
WaTz ni wavivu mno na wapenda Starehe! Kwaiyo wewe wala usishangae ukisikia kuna likizo ya KANUMBA DAY!
 

Ahahahaaa!! Dah! Naskia biblia inasema, mshahara wa dhambi ni kifo!
 
duh,................. mods bado tu hawajaushtukia huu uzi??................. we masa ungetia vineno kama hivi kwenye msiba wa regia, ungekiona cha moto kutoka kwa mods.............................. beware!
 
kaiuza Tanzania vizuri sana huko nje. Mwacheni maana kosa lake moja lisifute mazuri aliyotenda. Hukumu tumuachie Mungu nasi tutimize yetu-kumpa maziko yanayomstahili. Palikuwa hakunaga kama Kanumba
 
bila shaka wewe ni msukule
 


naunga mkono point zako kwamba tumepoteza wiki nzima ya kazi kama mtu ukihesabu siku hizo tulizopumzika . Ila tusamehe bure kwa maana kuwapa pole wafiwa ni jadi yetu tatizo muingiliano wa sikukuu!
 

Aptly put this!
 
Kuna siasa ndani yake!

JK Nchimbi tibaijuka et al hawakuweza kwenda msiba wa the late gavana Balal ila Msanii huyu serikali yote ilikuwepo na raia wasio na kazi!
 

Na kuna wengine wameenda hapo wakitegemea mlo wa bure, na si sympathy kama unavyodhani. Na ingekuwa uswahilini wengi wangejipa "uandazi" ili kujihakikishia "Shea" kubwa zaidi. Don't ask me why I know this: nimekulia uswahilini so I know hii ya kujifanya una sympathy mtu anapokufa ila si anapokuwa mgonjwa!
 
Utakuwa umelogwa wewe AMA unapepo! I'm talking from economic point of view! Ujinga Huu watz hao walio leaders hajafanya kazi yeyote ya kuzalisha
Wewe ukifanya kazi, wenzako wachache wanafisidi. Kila siku ni afadhali ya jana!
 
Wamama wamepotezana na watoto wao kisa Kanumba,
Nyumbani hakujapikwa kisa Wamama wapo Kinondoni kwa Kanumba,
Nimeshindwa kuwahi Stanbic pale Kinondoni Kisa Kanumba,
Mtoto wa miaka mitano wa Jirani yangu toka asubuhi haonekani kisa alienda Kinondoni Kanumba.
Talaka on the Corner, Rafiki mmoja alifiwa na ndugu yake, msiba upo Chanika walikozika leo, lakini mkewe kaamua kwenda kwa Kanumba.
 
MICHAEL JACKSON alizikwa na watu wa pande zt duniani
 
Subiri na wewe siku utakufa au kufiwa watu wakazalishe mali badala ya kukuombolezea au kuomboleza na wewe.Kanumba alikuwa mtu wa watu akiburudisha nyoyo zao hata katika shida na taabu za Watanzania. kutizama Movie zake unapunguza mawazo. Leo ndio siku yake ya mwisho duniani na haikuwa vibaya watanzania kuacha shughuli zao na kuja kumuaga. Ni kawaida yetu kuonyesha upendo kwa kwa kitu tunachokipenda. watu wengine mnajifanya mko serious sana na maisha wakati kuna siku haya maisha utayaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…