Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo
in the office watching clouds tv. Or if your office is media regulatory authority!!!
What's your point madam?
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
90% ya waliopo hapo hawana kazi rasmi wanaishi mjini kiusanii tu kwa hiyo kwa siku ya leo hiyo ndio kazi yao. Kweli Laigwanan alivyosema kuwa tatizo la ajira ni bomu linalongoja kuripuka nimeamini leo. Hivi unaaga vipi ofisini kwako kwenda kwenye msiba wa Kanumba? Unachukua likizo ya siku moja au? Laigwanan for CCM chairman, but, not for presidentKila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Mchungaji naona kama umekurupuka hivi............
Hivi wewe huudhurii misiba ya watu wakati wakazi?
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Ur mentally sick buddy! Point yako I wapi? Msome Mh Kigogo hapo juu
Rev huwa sikubaliani na wewe kivile lakini leo umesema kweli mama yangu ni mzee amesema hebu wamzike mtoto wa watu apumzike tuendelee na kazi nyingine kweli watu wameyakuza sana.Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
hii ni kali kwani hata vipindi vya Radio mbalimbali vimekuwa adjusted kwa hii kitu. Sijui akifa na msanii mwingine ghafla itakuwaje?
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo
Mkuu nimekuuliza tu wewe huendi kwenye misiba wakati wa kazi?Rudia kusoma nilichoandika and come back ! Don't be insane tusufate Mkumbo watz tuheshimu kazi Mch siwezi kwenda msiba wa kisanii Kama huu
Akina Mzee Jongo, Mzee Kipara, Tx Moshi William,... Kadhia hii imechangiwa na "brain-washing" inayofanywa na media zetu zikiongozwa na Clouds.Tushapoteza wasanii wengine but haikuwa hivi. Nadhani kila mmoja sinema ya maisha yake inaonekana ktk tukio kama hili wether aliishi vyema au si vyema
Utakuwa umelogwa wewe AMA unapepo! I'm talking from economic point of view! Ujinga Huu watz hao walio leaders hajafanya kazi yeyote ya kuzalisha